Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Inasikitisha sana!Mzee Ntagazwa alikosa kitanda Regency
Mimi nadhani ni vizuri zaidi kama watu wakajikita katika kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na gonjwa hili kiliko kutangaza vifo vya watu wa familia zingine,sijasema kutangaza vifovya familia zingine haifai au inafaa ila elimu ya kujikinga na gonjwa hili ni muhimu zaidi,
Kama inawezekaza basi Mods wangeweka thd ya namna hiyo kama sticky thd.
Corona yenyewe ina tendency ya kupandisha sukari mwilini hata kama hauna sukari...Wagonjwa wa kisukari na presha huu ugonjwa ukikukaba masaa mawili ni mengi .....!!! Stay away
The only thing that will save lives from this disease is to stick our asses at home. But the problem comes Black asses are not adhesive at all!Mimi nadhani ni vizuri zaidi kama watu wakajikita katika kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na gonjwa hili kiliko kutangaza vifo vya watu wa familia zingine,sijasema kutangaza vifovya familia zingine haifai au inafaa ila elimu ya kujikinga na gonjwa hili ni muhimu zaidi,
Kama inawezekaza basi Mods wangeweka thd ya namna hiyo kama sticky thd.
Corona yenyewe ina tendency ya kupandisha sukari mwilini hata kama hauna sukari...
Hizi ni maelekezo ya kuji kinga na corona lete za upumuajiTaratibu ni zile zile Mkuu.
1. Kuvaa barakoa
2.Kutumia "SANTAIZA"....
Hizi ni maelekezo ya kuji kinga na corona lete za upumuaji
Kumbe akili imeanza kuwajia kwamba changamoto ya upumuaji inatakiwa Mungu mwenyewe aingilie katiii??.By Boniface Jacob kupitia Twitter:
Tumuombe Sana Mungu Ndugu zangu,Wiki hii nimeona Mambo ya Kutisha.
Sikuwahi Kujua Ipo Siku Sisi Binadamu tutagombea "Oxygen" wenyewe kwa Wenyewe INATISHA
Mbaya Zaidi unakuwa Upo Tayari Kumpandia "Dau" Mgonjwa asiye wako anyofolewe kwenye "Oxygen" ili awekwe Ndugu yako.UBINAFSI
Wagonjwa wa kisukari na presha huu ugonjwa ukikukaba masaa mawili ni mengi .....!!! Stay away
WapoHivi kuna mgonjwa wa Corona huwa anapona baada ya kuwekewa ile oxygen?
Oxygen inakusaidia pale ambapo utafikia stage ya kushindwa kupumua.Hivi kuna mgonjwa wa Corona huwa anapona baada ya kuwekewa ile oxygen?
Uruhusiwi kusema ukweli, Nchi yetu ya chama kimoja haina Corona.Mimi nadhani ni vizuri zaidi kama watu wakajikita katika kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na gonjwa hili kuliko kutangaza vifo vya watu wa familia zingine,sijasema kutangaza vifo vya familia zingine haifai au inafaa ila elimu ya kujikinga na gonjwa hili ni muhimu zaidi,
Kama inawezekaza basi Mods wangeweka thd ya namna hiyo kama sticky thd.
Unaambiwa pale makumbusho eneo la kuchomea marehemu mabohora pamezidiwa na foleni ni ndefu mno .Inasikitisha sana!