Hii ndio ilikuwa “Ze Comedy” ambayo ilisamamisha nchi ilipofika saa moja jioni

Brain behind alikuwa mnyama Seki jamaa alikuwa anajua sana huyu nashangaa amejitenga sana na tasnia
Hakika mkuuu

Sekioni alikuwa anamuiga yule mwandishi mkura

"Mvaaaaa viatu wa itvvvvvvvv😂😂😂
 
Uchawa umewamaliza
 
Kuna clip moja masanja anampigia simu mheshimiwa the late Magu enzi akiwa waziri wa uvuvi, anataja idadi ya samaki wote dah inachekesha sana.


masanja: mheshimiwa we unajidai unajua haya pegere wako wangapi?
magu: pegeree wako bilioni 5 milioni 4 laki mbili mia na 7(in magu voice)
huwa nikikumbuka nacheka huku nalia 🙁
 
Daah pole sanaa mwamba umeandika kwa uhalisia sanaaa ... ila naamini sasa hivi Mungu alishafungua milango mingine fresh kabisa.
 
Brain behind alikuwa mnyama Seki jamaa alikuwa anajua sana huyu nashangaa amejitenga sana na tasnia
Sekioni David last time alikua mtangazaji habari hapo hapo ITV au EATV sikumbuki vizuri, wakati jamaa wana~hit na Ze~comedy yeye alikua anatangaza habari, km ulivyosema ilikua inasemekana show ni ya kwake. Baada ya hapo sijamsikia tena.
 
Kuna jamaa kaanzisha uzi kasema una tatizo la kisaikolojia unaanzisha uzi 30 kwa siku, alafu member mmoja akasema eti hata shemeji yako akikunyima chai unaanzisha uzi, mi nilikua nakutetea.
 
Daah pole sanaa mwamba umeandika kwa uhalisia sanaaa ... ila naamini sasa hivi Mungu alishafungua milango mingine fresh kabisa.
Duuuh!!! Sasa toka kitambo hiyo mpaka leo ukae kwa shemeji 🤣 .

Miezi 6 tu nikamove
 
Vengu alikuwa anabebwa. Kama alivyosema ephen_ ni kweli pengo lao halizibiki. Nao walizingua walipojiingiza kwenye ugomvi wa Mengi na Manji.
Watu wakitengana ndio utajua nani alikua anabebwa na nyota za wenzake.
Hao walikua wanabrbwa na nyota kali ya Joti.
Masanja na mpoki nao nyota zao sio haba.
 
JPm alikuwa msanii sana,kuna kipindi alituletea idadi ya Sangara wenye mimba!🥴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…