Hii ndio ilikuwa β€œZe Comedy” ambayo ilisamamisha nchi ilipofika saa moja jioni

Kuna mama alipoteza familia yake kwa kuacha watoto ndani na kwenda kwa jiran kuangalia ze comedy, watoto waliwaka wakaisha.
 
Kuna mama alipoteza familia yake kwa kuacha watoto ndani na kwenda kwa jiran kuangalia ze comedy, watoto waliwaka wakaisha.
😲😲😲😲😲
 
Jamani mmesahau na FUTUHI.πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ndyo ni FUTUHI.
Yule jamaa mwenye mashati marefu na yule jamaa wa kigomaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Noma sana. Hivi compilation ya clips zao zote inapatikana wapi? Au ndio hadi uende youtube?
Hapa ndipo media nyingi za Tanzania zinapofeli hakunaga compilation archives kwa episodes hzizi ambazo zilitamba na kusimamisha nchi kila ilipofika siku ya kurushwa kwake
Binafsi nimetafuta sana hizi episodes nimekosa huko youtube zipo vipande vipande ba vingine hata video quality yake ni ya chini sana na vingi viliwekwa huko kwa hisani ya wstu
 
Wanafeli sana. Zile video youtube quality yake kama vile wameshoot 1970 huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…