Hii ndio inaitwa kuupiga mwingi, gharama za bando zimepanda tena

Hii ndio inaitwa kuupiga mwingi, gharama za bando zimepanda tena

Ni kweli alikua mbovu kama unavyosema wewe ila bei ya bidhaa zilibakia zile zile kwa miaka 6.

Rais wetu mzuri ndani ya mwaka mmoja gharama za maisha zimepanda kwa asilimia 45 ama zaidi.

Sijui kama akili yako inaweza kutofautisha vitu kama hivyo.
Mafuta ya kula yalianza kupanda bei wakati gani, hebu kumbuka.
 
Maisha yanasonga mbele baharia, hayarudi nyuma. Mbona watumishi wamepadishiwa mishahara?

Na wewe pandisha bei kile unachokifanya. Iwe biashara ama huduma.

Ukiwa huna kabisa cha kupandisha bei, basi pandisha bei ya unyumba kwa mwenzi wako.
Haa haa haa

Nyie wazee wa "kuupiga mwingi" ile movement ya Sri Lanka haiwapi funzo lolote siyo?

Sababu ni hizi hizi na majibu ya viongozi wao yalikuwa ya kishenzi kwa namna hii hii...!!

Mnadhani hayawezi kutokea hapa, siyo?

Haya bana. Endeleeni ila msije mkawakimbia wake zenu na watoto wenu yakitokea mnayodhani "hayawahusu"

"Ukiona mwenzio kanyolewa, wewe anza kutia maji kabisa kichwa chako", maana zamu yako ya kunyolewa ikifika, utanyolewa tu..!!
 
Madihani

Hwbu tueleze uzuri na ubovu wa hao uliowataja kutokana na kisa cha mtoa mada.

Isije kuwa unaandika alafu ujui ulichoandika!.
 
Bundle ni offer inayo tolewa na mtoa huduma kwa malengo maaluum,na mda maaluum.

Nakushauli achana namabando ,jaza vocha uitumie hivyovyo bila kujiunga na hizio offer , ukipandishawa zaidi ya Bei elekezi hapo itakua umeibiwa.
Hii nchi imejaa watu wa hovyo sana.

Bando ni offer? Unajua maana ya offer?

Internet service ni huduma kama huduma nyingine. Sio ofa.

Jitahidi kujielimisha zaidi kabla ya kuja kuandika uharo wako humu.
 
Sasa Waziri wa hela ametoka kuchunga Ng'ombe Bush akaja mjini kusoma alipohitimu akapata kazi Bengi kubwa na baadaye akaibukia kwenye siasa,sasa ana uzoefu na exposure gani na mambo ya fedha?
Wapi Mama ya Zanzibare,Mama ya matashititi,Mama ya mipasho,Mulezi ya wana na Mutu ya Mapesa mingi😁.
Mungu atunusuru jamani!!
 
Wapandishe tu mimi kilichobaki labda Wapandishe na mashetani
 
Ni kweli alikua mbovu kama unavyosema wewe ila bei ya bidhaa zilibakia zile zile kwa miaka 6.

Rais wetu mzuri ndani ya mwaka mmoja gharama za maisha zimepanda kwa asilimia 45 ama zaidi.

Sijui kama akili yako inaweza kutofautisha vitu kama hivyo.
Sio kweli

Bei ya sukari na mafuta ya kula zilipanda kipindi cha magufuli.
 
Sio kweli

Bei ya sukari na mafuta ya kula zilipanda kipindi cha magufuli.
Hilo nakubali mkuu. ila ilikua ni hivyo tu. Sukari na Mafuta.

Kwa sasa ni almost kila kitu. Hata malaya mtaani wametubadilisha gharama ya nyapu.
 
Mk
Dah! Na dunia ya sasa internet imekua lazima ! Sijui nifanyaje,
emoji848.png

Jamaa yangu hivi bado tu ujajifungua ujauzito wa Magufuli....kama bado itoe beba ya Nape chief!!!
Wapi nimeandika magufuli kwenye uzi wangu ?
 
Hilo bando waliposhusha mpka gb 32 likanishinda...sasa kama wameshusha mpka gb 28 ni balaa hilo.
 
Maisha yanasonga mbele baharia, hayarudi nyuma. Mbona watumishi wamepadishiwa mishahara?

Na wewe pandisha bei kile unachokifanya. Iwe biashara ama huduma.

Ukiwa huna kabisa cha kupandisha bei, basi pandisha bei ya unyumba kwa mwenzi wako.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndani ya kipindi kifupi gharama ya bando/bundle ya internet imepanda kwa zaidi ya 45%.

Sisi watumiaji wa Vodacom tulikua tunanunua kifurushi cha Mwezi kwa shilingi elfu 50 na kupata GB 50.

Haikukaa muda kifurushi kikapanda gharama badala ya kupata GB 50 tukapewa GB 37. Mwezi March/April mwaka huu kikapanda tena ama kwa maana nyingine thamani ya shilingi ikashuka tena tukapata GB 32.

Leo nimejaribu kununua kifurushi kile kile kwa Elfu 50 nimepata GB 28.

Hii kiuchumi ni kwamba ndani ya mwaka mmoja thamani ya fedha yetu imeshuka kwa 45% ama gharama za maisha zimepanda kwa 45%. Maana yake ni kua kitu ulichokua unaweza kukinunua kwa elfu 50 leo utakipata kwa elfu 80.

Rais wetu kitu kinachoitwa mfumuko wa bei kimemshinda kabisa kudhibiti. Wafanyabiashara na watoa huduma wanajiamulia bei wanayotaka. Tunaoumia ni sisi walaji.

Tanzania kwa sasa hakuna consumer protection, bei zinapanda kila uchwao. Kufikia December mwaka huu GB 1 itakua elfu 5.

Gharama za bando na maisha kwa ujumla kwa miaka 5 ya Magufuli zilikuwa ni zile zile pamoja na janga la Covid, ila ndani ya mwaka mmoja wa Serikali ya kuupigwa mwingi kila kitu kimepanda bei.

Mama endelea kuupiga mwingi.View attachment 2294351
Sema kiukweli wanachofanya sahivi ni unyonyaji.. baada ya kujenga mkonge wa mawasiliano gharama zilitakiwa kushuka sana sio kidogo
 
Kamwe haiwezi kutokea hapa Tanzania.
Kamwe!!!????

Mlisema "kamwe hafi, hadi achoke mwenyewe au hadi 2030", lakini dunia ikashangaa "Bulldozer" au "Jiwe" likafa bwana...!

"....what a wonderful world 🌎🌎🌎🌎🌎 is this....!!!"

Waambieni watawala wenu kuwa, iwapo principles za haki zitazingatiwa, "kamwe haiwezi kutokea"...

Lakini kwa kuwa kuna binadamu fulani fulani wajiitao "viongozi" au "watawala" na walishajipa mamlaka ya vi - miungu fulani viovu kutawala na kunyanyasa watu wengine....;

Basi, I am surely telling you that, Ipo siku isiyo na Jina Mungu mkuu mwenye haki atasimama mwenyewe kwa nguvu ña mamlaka yake makuu kuamua kuwatetea watu wake

Nanyi kina Sexless na wenzako huko, wafuasi wa vimiungu watu viovu hivi mtakuja kupigwa na kitu kizito vichwani mwenu kiasi cha kuachwa katika mshangao mkuu sana...;

Na kusema...;

"...what a wonderful 😊😊😊 world is this...!!"
 
Back
Top Bottom