Hii ndio inaitwa kuupiga mwingi, gharama za bando zimepanda tena

Ndani ya kipindi kifupi gharama ya bando/bundle ya internet imepanda kwa zaidi ya 45%.

Sisi watumiaji wa Vodacom tulikua tunanunua kifurushi cha Mwezi kwa shilingi elfu 50 na kupata GB 50.

Haikukaa muda kifurushi kikapanda gharama badala ya kupata GB 50 tukapewa GB 37. Mwezi March/April mwaka huu kikapanda tena ama kwa maana nyingine thamani ya shilingi ikashuka tena tukapata GB 32.

Leo nimejaribu kununua kifurushi kile kile kwa Elfu 50 nimepata GB 28.

Hii kiuchumi ni kwamba ndani ya mwaka mmoja thamani ya fedha yetu imeshuka kwa 45% ama gharama za maisha zimepanda kwa 45%. Maana yake ni kua kitu ulichokua unaweza kukinunua kwa elfu 50 leo utakipata kwa elfu 80.

Rais wetu kitu kinachoitwa mfumuko wa bei kimemshinda kabisa kudhibiti. Wafanyabiashara na watoa huduma wanajiamulia bei wanayotaka. Tunaoumia ni sisi walaji.

Tanzania kwa sasa hakuna consumer protection, bei zinapanda kila uchwao. Kufikia December mwaka huu GB 1 itakua elfu 5.

Gharama za bando na maisha kwa ujumla kwa miaka 5 ya Magufuli zilikuwa ni zile zile pamoja na janga la Covid, ila ndani ya mwaka mmoja wa Serikali ya kuupigwa mwingi kila kitu kimepanda bei.

Mama endelea kuupiga mwingi.View attachment 2294351
Nape yeye anaendelea kubuia bakuli la asali na sio kulamba
 
Mawaziri wako busy kusambaza mitungi ya gesi ,Mwingine alikuwa anatembelea chopa za Jeshi kuweka vibao vya mitaa!

Wengine sijui wako pande ipi, akimaliza wa gesi atakuja Yule wa visiwani, sijui atakuwa na ubunifu upi Ila atakuwa na ziara !
 
Waliambiwa wapandishe kila baada ya miezi mitatu
Hiyo ndo njia sahihi walioiona mazoba wenu kwamba wamezuia isipande kiholela Ila baada ya miezi mitatu imeruhusiwa
Tigo ni Rostam na Voda na JK unategemea nini?
 
Dua la kuku hili
Umekariri eeeh...?

JIBU: Utashangaa mno dua ya kuku inapojibiwa na mwewe akatambaa ardhini...!!

Si mlisemaga jiwe halifi? Si mlisemaga jiwe ni Rais wa maisha na mngebadili katiba ili awe hivyo?

LAKINI: Dua ya kuku ikajibiwa. Mwewe yuko ardhini mavumbini...

Ndugu Sexless simama upande wa haki. Chukia dhuluma, uonevu na manyanyaso dhidi ya baadhi ya wanadamu wenye kujiona wana mamlaka ya kiungu dhidi ya wanadamu wenzao wanyonge...

Acha kuwapa watu nafasi unayopaswa umpe Mungu muumba pekee. Mwabudu Mungu aliye hai, asiyebadilika na mwenye haki milele yote...!!

Mwanadamu ni mavumbi tu. Hawezi lolote pasipo yeye aliye juu!!

NOTE: Sorry, sentensi yako fupi nimejibu kwa kirefu na kwa maneno haya kwa sababu nimekusoma akili na ufahamu wako nikaelewa kuwa, wewe ni miongoni mwa watu wasioamini neno hili la Mungu muumba asemapo;

"... Njia zangu mimi (Mungu) za kutenda mambo si njia zenu (wanadamu) namna mfanyavyo mambo yenu; na fikra zangu mimi (Mungu) si kama ambavyo nyie (wanadamu) mnafikiri..."

Mungu ana namna yake tu ya kufikiri na kutenda mambo maana amesema mwenyewe kuwa;

"...huwainua wanyonge ili awaaibishe wenye nguvu na mamlaka...."

YAANI: Mshangao wa dua la kuku kumporomosha mwenye aliye juu angani kabisa...!!
 
Ndani ya kipindi kifupi gharama ya bando/bundle ya internet imepanda kwa zaidi ya 45%.

Sisi watumiaji wa Vodacom tulikua tunanunua kifurushi cha Mwezi kwa shilingi elfu 50 na kupata GB 50.

Haikukaa muda kifurushi kikapanda gharama badala ya kupata GB 50 tukapewa GB 37. Mwezi March/April mwaka huu kikapanda tena ama kwa maana nyingine thamani ya shilingi ikashuka tena tukapata GB 32.

Leo nimejaribu kununua kifurushi kile kile kwa Elfu 50 nimepata GB 28.

Hii kiuchumi ni kwamba ndani ya mwaka mmoja thamani ya fedha yetu imeshuka kwa 45% ama gharama za maisha zimepanda kwa 45%. Maana yake ni kua kitu ulichokua unaweza kukinunua kwa elfu 50 leo utakipata kwa elfu 80.

Rais wetu kitu kinachoitwa mfumuko wa bei kimemshinda kabisa kudhibiti. Wafanyabiashara na watoa huduma wanajiamulia bei wanayotaka. Tunaoumia ni sisi walaji.

Tanzania kwa sasa hakuna consumer protection, bei zinapanda kila uchwao. Kufikia December mwaka huu GB 1 itakua elfu 5.

Gharama za bando na maisha kwa ujumla kwa miaka 5 ya Magufuli zilikuwa ni zile zile pamoja na janga la Covid, ila ndani ya mwaka mmoja wa Serikali ya kuupigwa mwingi kila kitu kimepanda bei.

Mama endelea kuupiga mwingi.View attachment 2294351
Poleni sana watanzania, hakuna wa kuwalilia tena, ccm ndio imewasaliti, kwa sasa mmekuwa kama samaki kwan hata akilia machozi yake huwa yanakwenda na maji.
 
Maisha yanasonga mbele baharia, hayarudi nyuma. Mbona watumishi wamepadishiwa mishahara?

Na wewe pandisha bei kile unachokifanya. Iwe biashara ama huduma.

Ukiwa huna kabisa cha kupandisha bei, basi pandisha bei ya unyumba kwa mwenzi wako.
Ukiwa stupid sio lzm / vizuri kumjulisha kila mtu
 
Maisha yanasonga mbele baharia, hayarudi nyuma. Mbona watumishi wamepadishiwa mishahara?

Na wewe pandisha bei kile unachokifanya. Iwe biashara ama huduma.

Ukiwa huna kabisa cha kupandisha bei, basi pandisha bei ya unyumba kwa mwenzi wako.
Akili ndogo mara zote Huwa na majibu mepesi Kwa maswali magumu ,na Huwa ya haraka haraka.
 
Ndani ya kipindi kifupi gharama ya bando/bundle ya internet imepanda kwa zaidi ya 45%.

Sisi watumiaji wa Vodacom tulikua tunanunua kifurushi cha Mwezi kwa shilingi elfu 50 na kupata GB 50.

Haikukaa muda kifurushi kikapanda gharama badala ya kupata GB 50 tukapewa GB 37. Mwezi March/April mwaka huu kikapanda tena ama kwa maana nyingine thamani ya shilingi ikashuka tena tukapata GB 32.

Leo nimejaribu kununua kifurushi kile kile kwa Elfu 50 nimepata GB 28.

Hii kiuchumi ni kwamba ndani ya mwaka mmoja thamani ya fedha yetu imeshuka kwa 45% ama gharama za maisha zimepanda kwa 45%. Maana yake ni kua kitu ulichokua unaweza kukinunua kwa elfu 50 leo utakipata kwa elfu 80.

Rais wetu kitu kinachoitwa mfumuko wa bei kimemshinda kabisa kudhibiti. Wafanyabiashara na watoa huduma wanajiamulia bei wanayotaka. Tunaoumia ni sisi walaji.

Tanzania kwa sasa hakuna consumer protection, bei zinapanda kila uchwao. Kufikia December mwaka huu GB 1 itakua elfu 5.

Gharama za bando na maisha kwa ujumla kwa miaka 5 ya Magufuli zilikuwa ni zile zile pamoja na janga la Covid, ila ndani ya mwaka mmoja wa Serikali ya kuupigwa mwingi kila kitu kimepanda bei.

Mama endelea kuupiga mwingi.View attachment 2294351
Dawa ni kupunguza matumizi ya video za mitandao ...lengo la mama ni kuzima nguvu ya mitandao ya jamii ..ili upuuzi wake usijulikane ..kitendo hichi kimeanza kuua hata fani ya muziki ya tz bongo..
 
Maisha yanasonga mbele baharia, hayarudi nyuma. Mbona watumishi wamepadishiwa mishahara?

Na wewe pandisha bei kile unachokifanya. Iwe biashara ama huduma.

Ukiwa huna kabisa cha kupandisha bei, basi pandisha bei ya unyumba kwa mwenzi wako.
Pia dawa ni kupynguza matumizi ya bando sasa hivi dawa ni jero tu kwa siku MB320 inatosha tuachane na istagramu na Facebook na youtube
 
Ndani ya kipindi kifupi gharama ya bando/bundle ya internet imepanda kwa zaidi ya 45%.

Sisi watumiaji wa Vodacom tulikua tunanunua kifurushi cha Mwezi kwa shilingi elfu 50 na kupata GB 50.

Haikukaa muda kifurushi kikapanda gharama badala ya kupata GB 50 tukapewa GB 37. Mwezi March/April mwaka huu kikapanda tena ama kwa maana nyingine thamani ya shilingi ikashuka tena tukapata GB 32.

Leo nimejaribu kununua kifurushi kile kile kwa Elfu 50 nimepata GB 28.

Hii kiuchumi ni kwamba ndani ya mwaka mmoja thamani ya fedha yetu imeshuka kwa 45% ama gharama za maisha zimepanda kwa 45%. Maana yake ni kua kitu ulichokua unaweza kukinunua kwa elfu 50 leo utakipata kwa elfu 80.

Rais wetu kitu kinachoitwa mfumuko wa bei kimemshinda kabisa kudhibiti. Wafanyabiashara na watoa huduma wanajiamulia bei wanayotaka. Tunaoumia ni sisi walaji.

Tanzania kwa sasa hakuna consumer protection, bei zinapanda kila uchwao. Kufikia December mwaka huu GB 1 itakua elfu 5.

Gharama za bando na maisha kwa ujumla kwa miaka 5 ya Magufuli zilikuwa ni zile zile pamoja na janga la Covid, ila ndani ya mwaka mmoja wa Serikali ya kuupigwa mwingi kila kitu kimepanda bei.

Mama endelea kuupiga mwingi.View attachment 2294351
Hii jamii forums hawawezi post Instagram na kuandika Mdau: gharama za Internet zimepanda
 
Hii ni bad news kwangu pia. Bye bye kifurushi pendwa changu. Nilipoanza kukitumia nilikuwa natoa 35,000 napata 25G, kikashuka nikapata 22 Gb nikasikitika, leo 20Gb sijui nilie! Naomba alternative wadau niichome moto line ya Voda!
Tupunguze matumizi ya mitandao kwa nusu tubaki na JAMII FORUM TU
 
Back
Top Bottom