Mafuta ya kula yalianza kupanda bei wakati gani, hebu kumbuka.Ni kweli alikua mbovu kama unavyosema wewe ila bei ya bidhaa zilibakia zile zile kwa miaka 6.
Rais wetu mzuri ndani ya mwaka mmoja gharama za maisha zimepanda kwa asilimia 45 ama zaidi.
Sijui kama akili yako inaweza kutofautisha vitu kama hivyo.
Haa haa haaMaisha yanasonga mbele baharia, hayarudi nyuma. Mbona watumishi wamepadishiwa mishahara?
Na wewe pandisha bei kile unachokifanya. Iwe biashara ama huduma.
Ukiwa huna kabisa cha kupandisha bei, basi pandisha bei ya unyumba kwa mwenzi wako.
Dah tulipigwa Magu alisema tutamkumbuka wanyonge tunaisoma nambaHuyo bibi bado yuko nchini? au katoroka kwenda ulaya?
Maana unaweza kuta yuko kwenye mabembea ya ulaya muda huu.
Hii nchi imejaa watu wa hovyo sana.Bundle ni offer inayo tolewa na mtoa huduma kwa malengo maaluum,na mda maaluum.
Nakushauli achana namabando ,jaza vocha uitumie hivyovyo bila kujiunga na hizio offer , ukipandishawa zaidi ya Bei elekezi hapo itakua umeibiwa.
Kamwe haiwezi kutokea hapa Tanzania.Mnadhani hayawezi kutokea hapa, siyo?
Sio kweliNi kweli alikua mbovu kama unavyosema wewe ila bei ya bidhaa zilibakia zile zile kwa miaka 6.
Rais wetu mzuri ndani ya mwaka mmoja gharama za maisha zimepanda kwa asilimia 45 ama zaidi.
Sijui kama akili yako inaweza kutofautisha vitu kama hivyo.
Hilo nakubali mkuu. ila ilikua ni hivyo tu. Sukari na Mafuta.Sio kweli
Bei ya sukari na mafuta ya kula zilipanda kipindi cha magufuli.
Gharama za bundle zikianza kupanda pindi tu baada ya uchaguzi hewa wa 2020 kwa mΓ gufool kuhofia watanzania wengi wataongozwa kuandamana na bwana Kigogo2014
Dah! Na dunia ya sasa internet imekua lazima ! Sijui nifanyaje,
Wapi nimeandika magufuli kwenye uzi wangu ?Jamaa yangu hivi bado tu ujajifungua ujauzito wa Magufuli....kama bado itoe beba ya Nape chief!!!
[emoji3][emoji3][emoji3]Maisha yanasonga mbele baharia, hayarudi nyuma. Mbona watumishi wamepadishiwa mishahara?
Na wewe pandisha bei kile unachokifanya. Iwe biashara ama huduma.
Ukiwa huna kabisa cha kupandisha bei, basi pandisha bei ya unyumba kwa mwenzi wako.
Sema kiukweli wanachofanya sahivi ni unyonyaji.. baada ya kujenga mkonge wa mawasiliano gharama zilitakiwa kushuka sana sio kidogoNdani ya kipindi kifupi gharama ya bando/bundle ya internet imepanda kwa zaidi ya 45%.
Sisi watumiaji wa Vodacom tulikua tunanunua kifurushi cha Mwezi kwa shilingi elfu 50 na kupata GB 50.
Haikukaa muda kifurushi kikapanda gharama badala ya kupata GB 50 tukapewa GB 37. Mwezi March/April mwaka huu kikapanda tena ama kwa maana nyingine thamani ya shilingi ikashuka tena tukapata GB 32.
Leo nimejaribu kununua kifurushi kile kile kwa Elfu 50 nimepata GB 28.
Hii kiuchumi ni kwamba ndani ya mwaka mmoja thamani ya fedha yetu imeshuka kwa 45% ama gharama za maisha zimepanda kwa 45%. Maana yake ni kua kitu ulichokua unaweza kukinunua kwa elfu 50 leo utakipata kwa elfu 80.
Rais wetu kitu kinachoitwa mfumuko wa bei kimemshinda kabisa kudhibiti. Wafanyabiashara na watoa huduma wanajiamulia bei wanayotaka. Tunaoumia ni sisi walaji.
Tanzania kwa sasa hakuna consumer protection, bei zinapanda kila uchwao. Kufikia December mwaka huu GB 1 itakua elfu 5.
Gharama za bando na maisha kwa ujumla kwa miaka 5 ya Magufuli zilikuwa ni zile zile pamoja na janga la Covid, ila ndani ya mwaka mmoja wa Serikali ya kuupigwa mwingi kila kitu kimepanda bei.
Mama endelea kuupiga mwingi.View attachment 2294351
Kamwe!!!????Kamwe haiwezi kutokea hapa Tanzania.