Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Screenshot_2024-03-03-00-16-31-1.png

Sasa Toeni maoni yenu
 
Katika rekodi za wafungaji 54 wa muda wote katika michuano ya Caf Champion League.

Chama anashika nafasi ya 10 akifungana kwa idadi ya magoli sawa na wenzake wawili ambao wote kwa ujumla wana magoli 17.

Screenshot_20240303-011839.png

Hata hivyo baada ya mechi ya leo kumalizika kwa Chama kufunga bao moja, Chama atavuka nafasi hiyo na kuwa nafasi ya 6 au 7.

Kama namba zinaongea na bado hamtaki kukubali basi wacha tuongee sisi.

Katika rekodi za wachezaji kufananishwa na mchezaji wa timu nyingine, Chama amekuwa ndio mchezaji pekee aliyefananishwa na wachezaji wengi.

Na kila mchezaji anayefananishwa lazima hao watu wanaompigia promo waje kumkataa siku za mbeleni.

Walimfananisha na Morrison, Chama akaendelea kuwathibitishia kuwa yeye ni high class .

Wakaja na Aucho, kama kawaida ya Chama akaendelea kufanya yake na mwisho maji na mafuta vilipojitenga ndio ukawa mwisho wa hizo stori.

Waka switch kwenda na Feisal, "ooh Feisal ni mkali kuliko Chama". Muda ulifika na hizo stori zikaisha Chama akaendelea na utawala wake.

Wakaja na Kisinda, "aah unajua Kisinda ni mkali sana kwanza ana mbio afu Chama ni konokono"

Hii hata sitaki niiseme sana maana walimfukuza vibaya huyo Kisinda wao na wao wenyewe ndio waliokuwa wakwanza kumsimanga wakisema mchezaji gani anakimbia hovyo kama kibendera halafu hafanyi chochote.

Sasa wakaja kwa Azizi Ki, huyu ndio walimuona mkombozi wao kupita hao wengine wote waliowahi kutangulia.

Alipofeli kusimama kwenye mzani wakaaza kusema "lakini Azizi Ki ana mikimbio mizuri"

Hadi baadhi ya media zikawa zinalazimisha Azizi Ki aonekane ni mpinzani wa Chama kwenye ishu nzima ya ubora.

Lakini kama ilivyo ada, jamaa akatupa taulo na Chama akaendelea na ufalme wake.

Saizi wamekuja na Pacome, huyu Pacome tena bora asijue mnyororo wa wachezaji waliomtangulia waliowahi kufananishwa na Chama atakata tamaa mapema.

Yanga wote wanajua kuwa hawana mchezaji ambaye anauwezo wa kumfikia Chama, hata Hersi mwenyewe aliwahi kusema Chama ni mchezaji bora na ana ndoto ya kutaka kumuona siku moja anacheza Yanga.

Ndio maana kila msimu unaona wanamsajili wao ila kucheza anacheza unyamani.

So this isn't the first time and it's not going to be the last
 
Katika rekodi za wafungaji 54 wa muda wote katika michuano ya Caf Champion League

Chama anashika nafasi ya 10 akifungana kwa idadi ya magoli sawa na wenzake wawili ambao wote kwa ujumla wana magoli 17

View attachment 2922657
Hata hivyo baada ya mechi ya leo kumalizika kwa Chama kufunga bao moja, Chama atavuka nafasi hiyo na kuwa nafasi ya 6 au 7

Kama namba zinaongea na bado hamtaki kukubali basi wacha tuongee sisi.

Katika rekodi za wachezaji kufananishwa na mchezaji wa timu nyingine, Chama amekuwa ndio mchezaji pekee aliyefananishwa na wachezaji wengi.

Na kila mchezaji anayefananishwa lazima hao watu wanaompigia promo waje kumkataa siku za mbeleni.

Walimfananisha na Morrison, Chama akaendelea kuwathibitishia kuwa yeye ni high class .

Wakaja na Aucho, kama kawaida ya Chama akaendelea kufanya yake na mwisho maji na mafuta vilipojitenga ndio ukawa mwisho wa hizo stori.

Waka switch kwenda na Feisal, "ooh Feisal ni mkali kuliko Chama". Muda ulifika na hizo stori zikaisha Chama angeendelea na utawala wake.

Wakaja na Kisinda, "aah unajua Kisinda ni mkali sana kwanza ana mbio afu Chama ni konokono"

Hii hata sitaki niiseme sana maana walimfukiza vibaya huyo Kisinda wao na wao wenyewe ndio waliokuwa wakwanza kumsimanga wakisema mchezaji gani anakimbia hovyo kama kibendera halafu hafanyi chochote.

Sasa wakaja kwa Azizi Ki, huyu ndio walimuona mkombozi wao kupita hao wengine wote waliowahi kutangulia.

Hadi baadhi ya media zikawa zinalazimisha Azizi Ki aonekane ni mpinzani wa Chama kwenye ishu nzima ya ubora.

Lakini kama ilivyo ada, jamaa akatupa taulo na Chama akaendelea na ufalme wake.

Saizi wamekuja na Pacome, huyu Pacome tena bora asijue mnyororo wa wachezaji waliowahi kufananishwa na Chama atakata tamaa mapema.

😆😆😆😆
 
Tatizo chama hafurukutigi game kubwa , sio kama pacome ambapo game zote ni motoo
 
Kweli ushabiki unawapunguzia watu uwezo wa kufikiri. Unaweza kukuta jamaa hapa ni mkurugenzi kabisa wa Manispaa ya Lindi. Ahsante sijawa shabiki wa ajabu ajabu wa mpira kiasi hiki, pengine nami saa hz ningekuwa nimeshaongea ujinga mkubwa zaidi kuliko huu.
 
Yanga wote wanajua kuwa hawana mchezaji ambaye anauwezo wa kumfikia Chama, hata Hersi mwenyewe aliwahi kusema Chama ni mchezaji bora na ana ndoto ya kutaka kumuona siku moja anacheza Yanga.
Mimi huwa sipendi mambo za comparison lakini kwakua mpira unachezwa na kila mtu anaona lazima watu wafanye comparison tu. Hakuna siku kuna mtu alisema Chama ni mbovu ni mchezaji mzuri wala msikasirike kufanyiwa comparison lakini tukija kwenye uhalisia kwa sasa Chama kwa Pacome na Aziz Ki bado sana ndugu. Chama hapati namba kwa hao watu ukubali ukatae. Hao jamaa viwango vyao havina mashaka wala havichagui games tofauti na Chama.
 
Mtawakataa kama mlivyowakataa hao wengine ni suala la muda..!
 
Katika rekodi za wafungaji 54 wa muda wote katika michuano ya Caf Champion League

Chama anashika nafasi ya 10 akifungana kwa idadi ya magoli sawa na wenzake wawili ambao wote kwa ujumla wana magoli 17

View attachment 2922657
Hata hivyo baada ya mechi ya leo kumalizika kwa Chama kufunga bao moja, Chama atavuka nafasi hiyo na kuwa nafasi ya 6 au 7

Kama namba zinaongea na bado hamtaki kukubali basi wacha tuongee sisi.

Katika rekodi za wachezaji kufananishwa na mchezaji wa timu nyingine, Chama amekuwa ndio mchezaji pekee aliyefananishwa na wachezaji wengi.

Na kila mchezaji anayefananishwa lazima hao watu wanaompigia promo waje kumkataa siku za mbeleni.

Walimfananisha na Morrison, Chama akaendelea kuwathibitishia kuwa yeye ni high class .

Wakaja na Aucho, kama kawaida ya Chama akaendelea kufanya yake na mwisho maji na mafuta vilipojitenga ndio ukawa mwisho wa hizo stori.

Waka switch kwenda na Feisal, "ooh Feisal ni mkali kuliko Chama". Muda ulifika na hizo stori zikaisha Chama angeendelea na utawala wake.

Wakaja na Kisinda, "aah unajua Kisinda ni mkali sana kwanza ana mbio afu Chama ni konokono"

Hii hata sitaki niiseme sana maana walimfukiza vibaya huyo Kisinda wao na wao wenyewe ndio waliokuwa wakwanza kumsimanga wakisema mchezaji gani anakimbia hovyo kama kibendera halafu hafanyi chochote.

Sasa wakaja kwa Azizi Ki, huyu ndio walimuona mkombozi wao kupita hao wengine wote waliowahi kutangulia.

Hadi baadhi ya media zikawa zinalazimisha Azizi Ki aonekane ni mpinzani wa Chama kwenye ishu nzima ya ubora.

Lakini kama ilivyo ada, jamaa akatupa taulo na Chama akaendelea na ufalme wake.

Saizi wamekuja na Pacome, huyu Pacome tena bora asijue mnyororo wa wachezaji waliowahi kufananishwa na Chama atakata tamaa mapema.

Yanga wote wanajua kuwa hawana mchezaji ambaye anauwezo wa kumfikia Chama, hata Hersi mwenyewe aliwahi kusema Chama ni mchezaji bora na ana ndoto ya kutaka kumuona siku moja anacheza Yanga.

Ndio maana kila msimu unaona wanamsajili wao ila kucheza anacheza unyamani.

So this isn't the first time and it's not going to be the last
Katika hayo magoli, taja idadi ya magoli aliyofunga akicheza na timu kubwa au akicheza away. Chama anawika akicheza na timu ndogo na pia akiwa kwa Mkapa ila huwezi kukuta akitamba kwa timu kubwa au nje ya uwanja wa Mkapa hata siku moja na huu ndio ukweli
 
Back
Top Bottom