cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Aziz kii wameshamkataa tayari, sahivi wako kwa Pacomee.Mtawakataa kama mlivyowakataa hao wengine ni suala la muda..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aziz kii wameshamkataa tayari, sahivi wako kwa Pacomee.Mtawakataa kama mlivyowakataa hao wengine ni suala la muda..!
Bora ni yule anayefananishwa na kila mchezaji na bado anawa prove wrong, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema wewe mwenyewe kwa sasa nani ni bora?
Kwa hiyo sasa hivi mnafurahia kuitwa majini?Usitaharuki kwa vitu vidogovidogo.Unachangamshwa akili.Jadili kauli ya kocha.Acha kutoa ulinganisho.Chama ni jini au konokono?
Mimi huwa sipendi mambo za comparison lakini kwakua mpira unachezwa na kila mtu anaona lazima watu wafanye comparison tu. Hakuna siku kuna mtu alisema Chama ni mbovu ni mchezaji mzuri wala msikasirike kufanyiwa comparison lakini tukija kwenye uhalisia kwa sasa Chama kwa Pacome na Aziz Ki bado sana ndugu. Chama hapati namba kwa hao watu ukubali ukatae. Hao jamaa viwango vyao havina mashaka wala havichagui games tofauti na Chama.
Ongezaaa sautiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunamuongelea mchezaji bora namba saba[7]wa muda wote CAF champions league jumla goli 18 kwa sasa ndiye mchezaji aliye active waliomzidi wamestaafu na wengine wako ulaya. .Juu yake yupo Bwana Samatha
Swali kwa kocha.Kwa hiyo sasa hivi mnafurahia kuitwa majini?
kwa wanao fuatilia mpira, hizo 5 ni kama Yanga kazirudisha tu, maana alishafungwa na Simba, ila kama unaipenda yanga hupendi mpira hili huwezi kujua.Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo🤔
Mbona wee ndo unatesekaa sanaa bwasheee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo[emoji848]
Jiwe limetua kwenye bleach!Uwe unatupa kwa tahadhari.Mimi nilitupa tu Jiwe gizani 🤔
Katika hayo magoli, taja idadi ya magoli aliyofunga akicheza na timu kubwa au akicheza away. Chama anawika akicheza na timu ndogo na pia akiwa kwa Mkapa ila huwezi kukuta akitamba kwa timu kubwa au nje ya uwanja wa Mkapa hata siku moja na huu ndio ukweli
Kwanza hakuna timu itapenda kuwa na wachezaji hao wote kwa pamoja kwa sababu ni high profile players. Ninachozungumza kwa sasa Chama bado akajitafute kwa Pacome na AzizWeeee acha izo mjomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani wakumuweka benchi chama hapo?
Labda useme pakome, Aziz key big No, na Hata pakome anapaswa kucheza Kwa kiwango hiki Kwa muda mrefu ndio afikie kulinganishwa na Chama. Maana Chama kafanya makubwa Kwa zaid ya miaka 5 mfululizo. Muda mwingine tuache ushabiki tuuheshimu mpira, Kweli pakome msimu Huu kaperform kuliko Chama ila Kweli jaman Hata msimu mmoja hajamaliza alinganishwe na Chama? Mfano Kwa Sasa Halland yupo vizuri kuliko mess na Ronaldo ila haitoshi kumfananisha na Watu hao. Inabid ayafanye haya anayofanya Kwa miaka zaidi ya 7 Kama walivyofanya wenzake ndio afananishwe. Yupo wap Neymar na mbape si wote walianza vizuri.Kwanza hakuna timu itapenda kuwa na wachezaji hao wote kwa pamoja kwa sababu ni high profile players. Ninachozungumza kwa sasa Chama bado akajitafute kwa Pacome na Aziz
Kwenye game ya jana jamaa alitisha sana
Kwenye rank ya CAF ni wangapi? Timu kila msimu ni wa mwisho kwenye kundi halafu atakuwa vipi timu kubwa?Team kubwa ni ipi? Kwa iyo wale galaxy wadogo?
Hao wote ulio wataja wana viwango vya graph hawana consistencyMimi huwa sipendi mambo za comparison lakini kwakua mpira unachezwa na kila mtu anaona lazima watu wafanye comparison tu. Hakuna siku kuna mtu alisema Chama ni mbovu ni mchezaji mzuri wala msikasirike kufanyiwa comparison lakini tukija kwenye uhalisia kwa sasa Chama kwa Pacome na Aziz Ki bado sana ndugu. Chama hapati namba kwa hao watu ukubali ukatae. Hao jamaa viwango vyao havina mashaka wala havichagui games tofauti na Chama.
Ilikuwa ni ngumu sana kwa Utopolo yeyote kuisoma hiyo post bila kuumia kwasababu nimeandika ukweli.Kweli ushabiki unawapunguzia watu uwezo wa kufikiri. Unaweza kukuta jamaa hapa ni mkurugenzi kabisa wa Manispaa ya Lindi. Ahsante sijawa shabiki wa ajabu ajabu wa mpira kiasi hiki, pengine nami saa hz ningekuwa nimeshaongea ujinga mkubwa zaidi kuliko huu.
Angeitwa kuichezea timu yake ya taifa afconTatizo chama hafurukutigi game kubwa , sio kama pacome ambapo game zote ni motoo
Akacheze nafasi ya nani pale?Hata jana alikosa magoli.Ni kawaida.Halafu,sorry,hivi atasajiliwa lini utopoloni huyu konokono?