Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

Chama msimu huu kacheza dakika ngapi? Ka assist ngapi na goli ngapi? Au ni mchezaji gani wa Simba aliyefikia assist na magoli kama Pacome?
Chama ni GOAT hawezi kushindanishwa na upcoming player

Kwenye viunga vya CAF Champion league Chama ni icon ambayo inaishi miaka mingi.

Pacome ni upcoming lazima tumuweke kwenye mzani na Chasambi ambaye ni upcoming mwenzake.
 
Chama huyu wa mechi ndogo kweli sisi simba ni mambumbumbu

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Mechi ndogo mechi gani?

Chama kafanya makubwa kwenye Afcon ambayo immature hawapewi nafasi ya kushiriki

Chama ndio mchezaji ambaye anacheza eneo lote la uwanja hayupo fixed sehemu moja.

Hawezi kuwa sawa na Pacome ambaye mechi mpaka inaisha yupo eneo moja kama Bismini.
 
Attachments

  • 20240302_230644.jpg
    20240302_230644.jpg
    78.9 KB · Views: 1
Kocha wa Galaxy hajaongea? Maana kabla ya mechi walijaza nyuzi za kile alichokisema [emoji2][emoji2]
 
Chama ni GOAT hawezi kushindanishwa na upcoming player

Kwenye viunga vya CAF Champion league Chama ni icon ambayo inaishi miaka mingi.

Pacome ni upcoming lazima tumuweke kwenye mzani na Chasambi ambaye ni upcoming mwenzake.
huyo GOAT tokea aje Tanzania, ni timu gani ambayo ilitamani ifanye naye kazi zaidi ya Berkane ambapo wakaona kumbe ni mchezaji anayekuzwa na maneno mengi ya watanzania. Mchezaji anaishia kucheza Tanzania pekee hata vilabu vikubwa havimtaki.
 
Hersi ni wa hapa hapa Tanzania, je timu za nje ya Tanzania hawauoni huo ubora wa Chama kiasi kwamba misimu nenda rudi yupo Tanzania tu
Mfano mzuri unaanzia ndani

Timu za nje kama Bamako hata ikionesha nia ya kumtaka Chama itakuwa ni matusi na wala sio jambo la kujivunia.

Kwa hiyo sio kila timu ya nje ni bora sana kiasi cha kuitolea mifano.

Hao wengine hawana hela ya kuweza kufika dau
 
Labda useme pakome, Aziz key big No, na Hata pakome anapaswa kucheza Kwa kiwango hiki Kwa muda mrefu ndio afikie kulinganishwa na Chama. Maana Chama kafanya makubwa Kwa zaid ya miaka 5 mfululizo. Muda mwingine tuache ushabiki tuuheshimu mpira, Kweli pakome msimu Huu kaperform kuliko Chama ila Kweli jaman Hata msimu mmoja hajamaliza alinganishwe na Chama? Mfano Kwa Sasa Halland yupo vizuri kuliko mess na Ronaldo ila haitoshi kumfananisha na Watu hao. Inabid ayafanye haya anayofanya Kwa miaka zaidi ya 7 Kama walivyofanya wenzake ndio afananishwe. Yupo wap Neymar na mbape si wote walianza vizuri.

Ni wazi kwamba Pakome form aliyo nayo Sasa ni zaidi ya Chama na ana nafasi ya kufanya zaid na zaid maana Chama umri unamuacha ila Bado ana safari ndefu kufikia class ya Chama kwenye ligi kuu na caf champions league
Aziz Ki msimu wake wa kwanza NBC ndio tunasema aliku na perfomance mbovu lakini ukilinganisha msimu wake uliopita ambao alikua MVP ligi aliyotoka alikua number nzuri huku. Cheki sasa hivi anavyokiwasha ndio top score.

Haya huyu Pacome naye katoka kule kama MVP cheki anavyokiwasha sasa hivi. Naxhotaka kusema ni kwamba hawa wachezaji hawahitaji misimu 7 kuonyesha viwango vyao kama ulivyosema hapo. Misimu mitatu inawatosha kuonyesha hawa watu si wa mchezo mchezo.
 
Tatizo chama hafurukutigi game kubwa , sio kama pacome ambapo game zote ni motoo
Game kubwa gani ambayo Chama hajacheza?

Unaongelea game kubwa juzi tu Chama katoa assist Afcon, mashindano ambayo Pacome ameishia kuyaangalia kwenye runinga
 
Huyo Azizi Ki hadi Nabi aliwahi kusema kuwa sio mchezaji wa kumaliza dakika 45
Ndugu hili lilikua tatizo la timu nzima. Kipinxi kile ilikua Yanga isipopata matokeo kipindi cha kwanza ilikua mtihani kutoboa kipindi cha pili. Kama ni mfuatiliaji nadhani utakumbuka vizuri.
 
Na ndio game hiyo hiyo ambayo hadi mchambuzi wa Azam TV alisema Azizi Ki kwenye mechi hii alikuwa kama msafiri tu ambaye hajui anaenda wapi.
Hii inatokea mara nyingi tu kwa wachezaji wengi hata Chama. Niambie Chama alikuaje kabla hajasimamishwa na sasa hivi? Inatokea siku moja moja game kumkataa mchezaji na sio kila siku
 
Aziz Ki msimu wake wa kwanza NBC ndio tunasema aliku na perfomance mbovu lakini ukilinganisha msimu wake uliopita ambao alikua MVP ligi aliyotoka alikua number nzuri huku. Cheki sasa hivi anavyokiwasha ndio top score.

Haya huyu Pacome naye katoka kule kama MVP cheki anavyokiwasha sasa hivi. Naxhotaka kusema ni kwamba hawa wachezaji hawahitaji misimu 7 kuonyesha viwango vyao kama ulivyosema hapo. Misimu mitatu inawatosha kuonyesha hawa watu si wa mchezo mchezo.
Huyo Pacome carrier yake ya mpira imeanza lini?
 
Back
Top Bottom