Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sio tatizo la timu ni mchezaji personal mpaka kocha anam-point yeye kama tatizo sio jambo dogoNdugu hili lilikua tatizo la timu nzima. Kipinxi kile ilikua Yanga isipopata matokeo kipindi cha kwanza ilikua mtihani kutoboa kipindi cha pili. Kama ni mfuatiliaji nadhani utakumbuka vizuri.