Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Swali jema kwa Hersi na viongozi wa uto.Akacheze nafasi ya nani pale?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali jema kwa Hersi na viongozi wa uto.Akacheze nafasi ya nani pale?
Hakuna mchezaji ambae yeye yupo vizuri wakati wote halafu unapolinganisha wachezaji tumia takwimu siyo mahaba. Mwisho Pacome na Aziz K hawafai hata kulinganishwa na Chama sababu ndo wanaanza safari ya mafanikio ndani ya hii nchi, labda wajifunze kwake na kuboresha zaidi ili wavuke takwimu alizotengeneza.Mimi huwa sipendi mambo za comparison lakini kwakua mpira unachezwa na kila mtu anaona lazima watu wafanye comparison tu. Hakuna siku kuna mtu alisema Chama ni mbovu ni mchezaji mzuri wala msikasirike kufanyiwa comparison lakini tukija kwenye uhalisia kwa sasa Chama kwa Pacome na Aziz Ki bado sana ndugu. Chama hapati namba kwa hao watu ukubali ukatae. Hao jamaa viwango vyao havina mashaka wala havichagui games tofauti na Chama.
To be honest, Afcon yote sijawaishuhudia mchezaji mwenye kipaji au akili ya mpira kama ChamaKatika rekodi za wafungaji 54 wa muda wote katika michuano ya Caf Champion League
Chama anashika nafasi ya 10 akifungana kwa idadi ya magoli sawa na wenzake wawili ambao wote kwa ujumla wana magoli 17
View attachment 2922657
Hata hivyo baada ya mechi ya leo kumalizika kwa Chama kufunga bao moja, Chama atavuka nafasi hiyo na kuwa nafasi ya 6 au 7
Kama namba zinaongea na bado hamtaki kukubali basi wacha tuongee sisi.
Katika rekodi za wachezaji kufananishwa na mchezaji wa timu nyingine, Chama amekuwa ndio mchezaji pekee aliyefananishwa na wachezaji wengi.
Na kila mchezaji anayefananishwa lazima hao watu wanaompigia promo waje kumkataa siku za mbeleni.
Walimfananisha na Morrison, Chama akaendelea kuwathibitishia kuwa yeye ni high class .
Wakaja na Aucho, kama kawaida ya Chama akaendelea kufanya yake na mwisho maji na mafuta vilipojitenga ndio ukawa mwisho wa hizo stori.
Waka switch kwenda na Feisal, "ooh Feisal ni mkali kuliko Chama". Muda ulifika na hizo stori zikaisha Chama angeendelea na utawala wake.
Wakaja na Kisinda, "aah unajua Kisinda ni mkali sana kwanza ana mbio afu Chama ni konokono"
Hii hata sitaki niiseme sana maana walimfukiza vibaya huyo Kisinda wao na wao wenyewe ndio waliokuwa wakwanza kumsimanga wakisema mchezaji gani anakimbia hovyo kama kibendera halafu hafanyi chochote.
Sasa wakaja kwa Azizi Ki, huyu ndio walimuona mkombozi wao kupita hao wengine wote waliowahi kutangulia.
Hadi baadhi ya media zikawa zinalazimisha Azizi Ki aonekane ni mpinzani wa Chama kwenye ishu nzima ya ubora.
Lakini kama ilivyo ada, jamaa akatupa taulo na Chama akaendelea na ufalme wake.
Saizi wamekuja na Pacome, huyu Pacome tena bora asijue mnyororo wa wachezaji waliowahi kufananishwa na Chama atakata tamaa mapema.
Yanga wote wanajua kuwa hawana mchezaji ambaye anauwezo wa kumfikia Chama, hata Hersi mwenyewe aliwahi kusema Chama ni mchezaji bora na ana ndoto ya kutaka kumuona siku moja anacheza Yanga.
Ndio maana kila msimu unaona wanamsajili wao ila kucheza anacheza unyamani.
So this isn't the first time and it's not going to be the last
Waliwahi kutamka wanamtaka Chama?Swali jema kwa Hersi na viongozi wa uto.
Pacome afananishwe na Chasambi kwani Chasambi nae yupo kwenye chati ya wanaongoza kwa magoli msimu huu?Hao wote ulio wataja wana viwango vya graph hawana consistency
Wanapanda siku moja wanakuja kushuka wiki mbili.
Huyo Azizi Ki hadi Nabi aliwahi kusema kuwa sio mchezaji wa kumaliza dakika 45
Kwenye mechi yenu na Monastir pia Nabi alisema Azizi Ki sio mchezaji tegemezi kwa Yanga ndio maana alikuwa anaanzia benchi.
Kwenye mechi yenu na Bamako, Nabi alisema Azizi Ki ameshuka sana kiwango na hawezi kumtumia sana kwenye mfumo wake.
Na ndio game hiyo hiyo ambayo hadi mchambuzi wa Azam TV alisema Azizi Ki kwenye mechi hii alikuwa kama msafiri tu ambaye hajui anaenda wapi.
Huyo Azizi Ki ndio unayetaka kumfananisha na GOAT wa Tanzania?
Chama ni top 8 kwa wafungaji bora wa Club Bingwa, huyo Pacome ana nini?
Azizi Ki kwenye michuano ya Afcon amefanya kitu gani special cha kukumbukwa?
Chama alitoa assist, huyo Azizi Ki alifanya nini?
Huyo Pacome ndio kwanza mpira alikuwa anauangalia kwenye runinga.
Mi naona Pacome afanananishwe na Chasambi at least tunaweza kuona kuna balance.
Kijijini kwetu tunaamini sana minong'ono kuliko radio.Waliwahi kutamka wanamtaka Chama?
Watakugomea hadi watazimia.Chama Mwamba wa Lusaka💪
Chasambi haongozi kwa assist wala magoli kwasababu hapewi nafasi ya kuanza, na wala hachezi muda mwingi.Pacome afananishwe na Chasambi kwani Chasambi nae yupo kwenye chati ya wanaongoza kwa magoli msimu huu?
Chasambi yupo kwenye orodha ya wanaongoza kwa sssist?
Kama hayupo basi mtoe kabisa Chasambi kwasababu hastahili.
Pacome msimu huu ana magoli matatu kwenye CAFCL
ana assist mbili je ulikuwa unataka muendelezo upi kwake?
Wao wenyewe wanajua basi tu ushabiki wa kijinga.To be honest, Afcon yote sijawaishuhudia mchezaji mwenye kipaji au akili ya mpira kama Chama
Pacome anashindana na Sankara na wachezaji wengine katika vipengele vinginevyo. Huyo Chasambi wako kampiganie kwanza kwa kocha wako ili apate namba.Chasambi haongozi kwa assist wala magoli kwasababu hapewi nafasi ya kuanza, na wala hachezi muda mwingi.
Ila katika muda mfupi tu aliocheza kaonesha ubora ambao naona unatosha kabisa kum challenge Pacome.
InjiniaChama vs Yacouba Sogne
Chama vs Ntibanzokinza
Chama vs Khalid Aucho
Chama vs Aziz Ki
Chama vs Pacome
Chama vs Who's next??
Mtamaliza huu mjadala au mnataka serikali iingilie kati?
Chasambi kacheza dakika 7 kafunga bao 1Pacome anashindana na Sankara na wachezaji wengine katika vipengele vinginevyo. Huyo Chasambi wako kampiganie kwanza kwa kocha wako ili apate namba.
Pacome ndani ya CAF
Goli 3
Assist 2
Sijui kwa Simba ni mchezaji gani anayemkaribia Pacome kwa hizi statistics kama yupo basi sio mbaya ukaleta statistics zake za msimu huu hapa
Katika rekodi za wafungaji 54 wa muda wote katika michuano ya Caf Champion League
Chama anashika nafasi ya 10 akifungana kwa idadi ya magoli sawa na wenzake wawili ambao wote kwa ujumla wana magoli 17
View attachment 2922657
Hata hivyo baada ya mechi ya leo kumalizika kwa Chama kufunga bao moja, Chama atavuka nafasi hiyo na kuwa nafasi ya 6 au 7
Kama namba zinaongea na bado hamtaki kukubali basi wacha tuongee sisi.
Katika rekodi za wachezaji kufananishwa na mchezaji wa timu nyingine, Chama amekuwa ndio mchezaji pekee aliyefananishwa na wachezaji wengi.
Na kila mchezaji anayefananishwa lazima hao watu wanaompigia promo waje kumkataa siku za mbeleni.
Walimfananisha na Morrison, Chama akaendelea kuwathibitishia kuwa yeye ni high class .
Wakaja na Aucho, kama kawaida ya Chama akaendelea kufanya yake na mwisho maji na mafuta vilipojitenga ndio ukawa mwisho wa hizo stori.
Waka switch kwenda na Feisal, "ooh Feisal ni mkali kuliko Chama". Muda ulifika na hizo stori zikaisha Chama angeendelea na utawala wake.
Wakaja na Kisinda, "aah unajua Kisinda ni mkali sana kwanza ana mbio afu Chama ni konokono"
Hii hata sitaki niiseme sana maana walimfukiza vibaya huyo Kisinda wao na wao wenyewe ndio waliokuwa wakwanza kumsimanga wakisema mchezaji gani anakimbia hovyo kama kibendera halafu hafanyi chochote.
Sasa wakaja kwa Azizi Ki, huyu ndio walimuona mkombozi wao kupita hao wengine wote waliowahi kutangulia.
Hadi baadhi ya media zikawa zinalazimisha Azizi Ki aonekane ni mpinzani wa Chama kwenye ishu nzima ya ubora.
Lakini kama ilivyo ada, jamaa akatupa taulo na Chama akaendelea na ufalme wake.
Saizi wamekuja na Pacome, huyu Pacome tena bora asijue mnyororo wa wachezaji waliowahi kufananishwa na Chama atakata tamaa mapema.
Yanga wote wanajua kuwa hawana mchezaji ambaye anauwezo wa kumfikia Chama, hata Hersi mwenyewe aliwahi kusema Chama ni mchezaji bora na ana ndoto ya kutaka kumuona siku moja anacheza Yanga.
Ndio maana kila msimu unaona wanamsajili wao ila kucheza anacheza unyamani.
So this isn't the first time and it's not going to be the last
Mimi huwa sipendi mambo za comparison lakini kwakua mpira unachezwa na kila mtu anaona lazima watu wafanye comparison tu. Hakuna siku kuna mtu alisema Chama ni mbovu ni mchezaji mzuri wala msikasirike kufanyiwa comparison lakini tukija kwenye uhalisia kwa sasa Chama kwa Pacome na Aziz Ki bado sana ndugu. Chama hapati namba kwa hao watu ukubali ukatae. Hao jamaa viwango vyao havina mashaka wala havichagui games tofauti na Chama.
Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo
Chama msimu huu kacheza dakika ngapi? Ka assist ngapi na goli ngapi? Au ni mchezaji gani wa Simba aliyefikia assist na magoli kama Pacome?Chasambi kacheza dakika 7 kafunga bao 1
Wakati Pacome alihitaji dakika 540 kupata hizo bao 3 na assist 2
Kwa calculation ya muda na magoli unaona Chasambi takwimu zinambeba kuliko Pacome.
Picha hana..naona profile yake ipo emptyKatika rekodi za wafungaji 54 wa muda wote katika michuano ya Caf Champion League
Chama anashika nafasi ya 10 akifungana kwa idadi ya magoli sawa na wenzake wawili ambao wote kwa ujumla wana magoli 17
View attachment 2922657
Hata hivyo baada ya mechi ya leo kumalizika kwa Chama kufunga bao moja, Chama atavuka nafasi hiyo na kuwa nafasi ya 6 au 7
Kama namba zinaongea na bado hamtaki kukubali basi wacha tuongee sisi.
Katika rekodi za wachezaji kufananishwa na mchezaji wa timu nyingine, Chama amekuwa ndio mchezaji pekee aliyefananishwa na wachezaji wengi.
Na kila mchezaji anayefananishwa lazima hao watu wanaompigia promo waje kumkataa siku za mbeleni.
Walimfananisha na Morrison, Chama akaendelea kuwathibitishia kuwa yeye ni high class .
Wakaja na Aucho, kama kawaida ya Chama akaendelea kufanya yake na mwisho maji na mafuta vilipojitenga ndio ukawa mwisho wa hizo stori.
Waka switch kwenda na Feisal, "ooh Feisal ni mkali kuliko Chama". Muda ulifika na hizo stori zikaisha Chama angeendelea na utawala wake.
Wakaja na Kisinda, "aah unajua Kisinda ni mkali sana kwanza ana mbio afu Chama ni konokono"
Hii hata sitaki niiseme sana maana walimfukiza vibaya huyo Kisinda wao na wao wenyewe ndio waliokuwa wakwanza kumsimanga wakisema mchezaji gani anakimbia hovyo kama kibendera halafu hafanyi chochote.
Sasa wakaja kwa Azizi Ki, huyu ndio walimuona mkombozi wao kupita hao wengine wote waliowahi kutangulia.
Hadi baadhi ya media zikawa zinalazimisha Azizi Ki aonekane ni mpinzani wa Chama kwenye ishu nzima ya ubora.
Lakini kama ilivyo ada, jamaa akatupa taulo na Chama akaendelea na ufalme wake.
Saizi wamekuja na Pacome, huyu Pacome tena bora asijue mnyororo wa wachezaji waliowahi kufananishwa na Chama atakata tamaa mapema.
Yanga wote wanajua kuwa hawana mchezaji ambaye anauwezo wa kumfikia Chama, hata Hersi mwenyewe aliwahi kusema Chama ni mchezaji bora na ana ndoto ya kutaka kumuona siku moja anacheza Yanga.
Ndio maana kila msimu unaona wanamsajili wao ila kucheza anacheza unyamani.
So this isn't the first time and it's not going to be the last
Chasambi kacheza dakika 7 kafunga bao 1
Wakati Pacome alihitaji dakika 540 kupata hizo bao 3 na assist 2
Kwa calculation ya muda na magoli unaona Chasambi takwimu zinambeba kuliko Pacome.
Chama huyu wa mechi ndogo kweli sisi simba ni mambumbumbuKatika rekodi za wafungaji 54 wa muda wote katika michuano ya Caf Champion League