Hii ndio kauli ya kwanza ya CCM-Tanzania baada ya Ajali ya Ndege ya Precision Air kutokea

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029
Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
IMG-20221106-WA0211.jpg
 
Asante Sana CCM na hii ndio tofauti yako na vyama vingine
 
Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
Mnatakiwa mlaaniwe nyinyi! Haiwezekani mtembelee magari ya kifahari kila siku kwenye misafara yenu! halafu kwenye uokozi, mnawaachia wavuvi waivute ndege kwa kamba za manila.

Miaka zaifi ya 40 ya kiwepo kwenu madarakani, mmewekeza nguvu kubwa kwenye siasa na propaganda! Kuliko kuboresha maisha ya Watanzania.
 
Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
Hizi insha hazina maana tena, Rada iliyoko dar na iliyoko Kagera hazifanyi kazi?? baada ya ndege kuchelewa kutua hatua gani zilichukuliwa?? Mamlaka husika imechukua tahadhari gani baada ya tukio?? Kwanini wanajeshi walioonekana eneo la tukio walikuwa bize kupiga picha?? Labda kama kuna Jambo linafichwa serikali ituweke wazi.
 
Back
Top Bottom