Hii ndio kauli ya kwanza ya CCM-Tanzania baada ya Ajali ya Ndege ya Precision Air kutokea

Maelezo meeengi eti “vyombo vya uokoaji” Siungewataja wavuvi na mitumbwi yao tu mngepungukiwa nini?
 
Attachments

  • 20221106_200349.jpg
    20221106_200349.jpg
    20.6 KB · Views: 2
Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
Taarifa zinaonesha watu wawili walizidi ndani ya ndege!!!

Walioshika Bomba kama Kwa daladala za mbagala??

Au Yale mambo ya CCM mgombea kupata kura nyingi zaidi ya idadi ya wapiga kura kuanza ktk usafiri wa anga??
 
Hii habari umeitoa wapi?
 
Viongozi wa CCM wakizurura nchini eti kukagua mipango ya maendeleo ya serikali chini ya SSH. Kila kiongozi na V8 yake hadi Katibu tarafa...
1667846731971.png
Kwa bahati mbaya hizo V8 hazina akili ya kuwaokoa Watanzania wanapofikwa na dharura kama tukio la ndege kuzama huko Bukoba...mnazijua V8 nyie? Wanachojua ni kutoa salamu ya rambirambi .
 
Ulitaka wafanyanyaje kwa Mfano Au unabwatabwata tu?
 
Viongozi wa CCM wakizurura nchini eti kukagua mipango ya maendeleo ya serikali chini ya SSH. Kila kiongozi na V8 yake hadi Katibu tarafa...
Kwa bahati mbaya hizo V8 hazina akili ya kuwaokoa Watanzania wanapofikwa na dharura kama tukio la ndege kuzama huko Bukoba...mnazijua V8 nyie? Wanachojua ni kutoa salamu ya rambirambi .
Usikute wamewatoa kafara ili mambo yao yawanyookee waendelee kulamba asali
 
Back
Top Bottom