CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Wale wanatamani watu wote wangekufa wapate cha kuongeaAsante Sana CCM na hii ndio tofauti yako na vyama vingine
Chama tawala badala kiwe cha kwanza kufika eneo la tukio na kufanya uokozi ...kinakuwa Cha kwanza kutoa salamu za rambirambi
Chama tawala badala kiwe cha kwanza kufika eneo la tukio na kufanya uokozi ...kinakuwa Cha kwanza kutoa salamu za rambirambi
Asante Sana CCM na hii ndio tofauti yako na vyama vingine
Safi Sana hii
Vyama vingine vilikwishatoa Pole toka saa 3 asbAsante Sana CCM na hii ndio tofauti yako na vyama vingine
Mnatakiwa mlaaniwe nyinyi! Haiwezekani mtembelee magari ya kifahari kila siku kwenye misafara yenu! halafu kwenye uokozi, mnawaachia wavuvi waivute ndege kwa kamba za manila.Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
Wale wanatamani watu wote wangekufa wapate cha kuongea
Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
Asante Sana CCM na hii ndio tofauti yako na vyama vingine
Chama huwa kinaokoaje na wewe ukiwa wapi! Umeufyta unakula kumbikumbi tu na mihogo!
Hizi insha hazina maana tena, Rada iliyoko dar na iliyoko Kagera hazifanyi kazi?? baada ya ndege kuchelewa kutua hatua gani zilichukuliwa?? Mamlaka husika imechukua tahadhari gani baada ya tukio?? Kwanini wanajeshi walioonekana eneo la tukio walikuwa bize kupiga picha?? Labda kama kuna Jambo linafichwa serikali ituweke wazi.Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767