Daaaah!!! Ina maana hata magu anaibaga simu?Makonda hapendwi na watu,haswa waungwana wa UKAWA. Ni hazina kubwa sana ya taifa, energetic, young, focused na ni aina ya mtu anayefanana na rais wa sasa, anao ule uwezo wa kuthubutu kufanya jambo. Haendekezi siasa, na hiyo ni sifa ya CCM, uwezo wa kuandaa vijana kwa ajili ya kesho na keshokutwa.
Hebu acha kumfananisha Rais na watu wapumbavu bana.
Lini ulimuona Rais anapiga wazee vibao.
Wapi ulimuona Rais anabeba watoto wa JK na kufunga kamba za viatu ili apewe cheo?
Acha kumfananisha Rais na watu wajingajinga bana.