Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mimi nawe tupo kundi moja mkuuWatz wengine akili zao za madafu, mimi siwezi kumsifia mtu asiyekuwa na nidham kama makonda, aliyethybutu kumpuga mzee Warioba hadharani kwa maslahi ya chama...wengine ambao sitakaa niwaheshimu ni nape na mwigulu,,hawa wako tayari kuua,kudhalilisha wengine kwa maslahi yao na chama