Tetesi: Hii ndio kazi inayofuata atakayopewa Makonda na Rais Magufuli

KAZI MOJA TU.

images
 
Mleta mada nilifikiri tayari unaijua hiyo kazi..kumbe na wewe unatuuliza?
 
At finally, baada ya kufanya kazi usiku na mchana za maendeleo alizokua akizipiga Mh DC licha ya watu kumkejeli mara muuza sura, mara anajipendekeza , mara mtovu wa nidhamu lakini kwa hayo yote mwisho ameweza kuonekana kwa utendaji kazi wake na kumgusa, kumdatisha au ama si kumkuna mzee wa #HapaKaziTu...
Je unaweza kupredict ni kazi gani inayofata inayomfiti na anayoweza kupewa kwa kuongezewa cheo Mkuu wa wilaya ya kindondoni baada ya hii ya uDC baada ya Mh JPM kuridhika na utendaji wake kazi na kumhakikishia kuwa yeye sio Jipu na anaendana na kasi yake na kustahili kula shavu lingine sehemu yoyote..

1. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (RC) au moja ya mikoa mingine
2. Mkurungenzi Mtendaji wa moja ya Taasisi za serikali (Director General/CEO/Managing Director/...)
3. Mwenyekiti wa Bodi katika moja ya Taasisi ya Serikali (Board Chairman...)
4. Balozi (Ambasador/ High Commissioner....)
5. Waziri au Naibu waziri...(Minister/Deputy Minister..)
6....
RC Mara akapambane na akina "Mura"
 
Kwani Magufuli anawatoto wakubwa, anaoweza kuwaogesha na kuwavalisha viatu Makonda? Naona Magufuli alilidhishwa na huduma ya MAKONDA aliyokuwa anaitoa kwa Riz 1.
 
Makonda bado sana kupewa nafasi zaidi ya ukuu wa wilaya kubwa gani kafanya kwa kinondoni adi kupewa nafisi kama ilizotaja kuigilia mgogoro wa madereva? kuwawe ndani maafsa aridhi wa k/nondon? Kumshtaki s.kubenea mahakani? Kwa hayo tu apewe ubalozi? diplomasia ni somo pana Wapo vijana waliwai kupewa ukuu wa wilaya wafanya mambo ya eshima wanakumbukwa na jamii ya eneo usika kama unataka Nenda wilaya ya IGUNGA utakuta eshima ya mkuu wa wilaya aliemaliza mda wake ELIBARIKI KINGU pamoja na figisu za siasa historia kamwe atamsaau Kingu hao ndio ma DC tunaotaka sio Makonda anaefanya kazi za kipambe na yeye katengeneza wapambe wake wampambe kwa rais.
 
Lete kwanza CV yake hapa tuione,maana mgosi wa kaya huwa anangalia CV zaidi.Hata hivyo Mwenyekiti wa bodi ni out kwa kuwa that is sort of a ceremonial post.
At finally, baada ya kufanya kazi usiku na mchana za maendeleo alizokua akizipiga Mh DC licha ya watu kumkejeli mara muuza sura, mara anajipendekeza , mara mtovu wa nidhamu lakini kwa hayo yote mwisho ameweza kuonekana kwa utendaji kazi wake na kumgusa, kumdatisha au ama si kumkuna mzee wa #HapaKaziTu...
Je unaweza kupredict ni kazi gani inayofata inayomfiti na anayoweza kupewa kwa kuongezewa cheo Mkuu wa wilaya ya kindondoni baada ya hii ya uDC baada ya Mh JPM kuridhika na utendaji wake kazi na kumhakikishia kuwa yeye sio Jipu na anaendana na kasi yake na kustahili kula shavu lingine sehemu yoyote..

1. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (RC) au moja ya mikoa mingine
2. Mkurungenzi Mtendaji wa moja ya Taasisi za serikali (Director General/CEO/Managing Director/...)
3. Mwenyekiti wa Bodi katika moja ya Taasisi ya Serikali (Board Chairman...)
4. Balozi (Ambasador/ High Commissioner....)
5. Waziri au Naibu waziri...(Minister/Deputy Minister..)
6....
 
Hata km ni kupiga debe la sio kwa staili hiyo, Ccm bwana! Mkuu wa wilaya anapiga kazi gani by professional? Labda kwakuwa alimfungulia kesi Kubenea na kuamrisha askari wamkamate, bac anafaa kuwa Mwenezi
 
At finally, baada ya kufanya kazi usiku na mchana za maendeleo alizokua akizipiga Mh DC licha ya watu kumkejeli mara muuza sura, mara anajipendekeza , mara mtovu wa nidhamu lakini kwa hayo yote mwisho ameweza kuonekana kwa utendaji kazi wake na kumgusa, kumdatisha au ama si kumkuna mzee wa #HapaKaziTu...
Je unaweza kupredict ni kazi gani inayofata inayomfiti na anayoweza kupewa kwa kuongezewa cheo Mkuu wa wilaya ya kindondoni baada ya hii ya uDC baada ya Mh JPM kuridhika na utendaji wake kazi na kumhakikishia kuwa yeye sio Jipu na anaendana na kasi yake na kustahili kula shavu lingine sehemu yoyote..

1. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (RC) au moja ya mikoa mingine
2. Mkurungenzi Mtendaji wa moja ya Taasisi za serikali (Director General/CEO/Managing Director/...)
3. Mwenyekiti wa Bodi katika moja ya Taasisi ya Serikali (Board Chairman...)
4. Balozi (Ambasador/ High Commissioner....)
5. Waziri au Naibu waziri...(Minister/Deputy Minister..)
6....
number 1 inahusika zaidi
 
Back
Top Bottom