Tetesi: Hii ndio kazi inayofuata atakayopewa Makonda na Rais Magufuli

Tetesi: Hii ndio kazi inayofuata atakayopewa Makonda na Rais Magufuli

Ni majukumu tu sema jpm amempa sifa coz yupo mjini hapo ampeleke nanjilinji aone kama kuna ishu atafanya ni kwamba mazingira aliyopo makonda ni reasonable hata mimi au wewe naweza ku-perform coz all resources are there
Dar es salaam kuna Wilaya tatu,mbona wa Temeke na Ilala hatuwasikii,kiukweli Makonda hata apelekwe wapi bado ataperform tu kwa kuwa ni mbunifu na mfuatiliaji wa kero za wananchi wake na kutafuta suluhu, amehusika sana Katika kutatua migogoro ya viwanja na hata kupelekea mabaraza ya Ardhi kinondoni kuongeza siku moja ya jmos Katika kusikiliza migogoro na amekuwa akienda mwenyewe eneo la tukio na wataalam kusikiliza kero na kuwataka wataalam kujibu na hivyo kuondoa tatizo la kukurupuka Katika maamuzi. He deserves it,na sio nguvu ya soda kwani kasi hiyo ameanza zamani kabla ya JPM.
 
Duuuh hivi unachukulia poa hivi vyeo?hapo labda u RC na unaibu au uwaziri akipendekewa sana ubalozi,
 
Kabla sijakujibu weka hapa cv ya mhe. Makonda.

Nape, Makonda, Mapunda, Sadifu, Makamba, Nchemba na wengineo - ccm's young elite cast in situ politicians. Kwa taaifa tu.
Umezoea makaratasi eeh?? Makonda ni wa vitendo, kwa kazi anayopiga, hiyo ni CV yake tayari.
 
Huyu mtu aliyempiga aliyewahi kuwa Jaji Mkuu Bw Joseph Sinde Warioba mtu anayeweza kuwa babu yake ndio afikiriwe kuwa kiongozi mkubwa?ila kwa jinsi Waafrika tulivyo haya mambo ya heshima,hekima,nidhamu na uadilifu katika uongozi si vitu tunavyovipa vipaumbele sana.Tuko tofauti sana na wenzetu wa mabara mengine ambao vitu hivyo ni vitu vya msingi sana katika masuala ya uongozi maana yana_play big part in influencing one's success or failure in leadership. Kitendo cha Makonda cha kumpiga Mzee Warioba kilitosha kuizika career yake ya kisiasa kama angekuwa anaishi katika nchi nyingine, Wenzetu katika hizo nchi huwa wanaangalia sifa za mtu karibia na perfection hasa katika eneo la tabia, lakini kwetu huku Afrika watu wenye tabia zisizoeleweka ndio hupewa promotion ya uongozi wa juu,then tunashangaa kwanini mambo hayaendi vizuri karibu katika kila sekta,ni kwasababu tunaweka watu wasio na nidhamu.
 
At finally, baada ya kufanya kazi usiku na mchana za maendeleo alizokua akizipiga Mh DC licha ya watu kumkejeli mara muuza sura, mara anajipendekeza , mara mtovu wa nidhamu lakini kwa hayo yote mwisho ameweza kuonekana kwa utendaji kazi wake na kumgusa au kama si kumkuna mzee wa #HapaKaziTu...
Je unaweza kupredict ni kazi gani inayofata anayoweza kupewa au kwa kuongezewa cheo Mkuu wa wilaya ya kindondoni baada ya hii ya uDC baada ya Mh JPM kuridhika na utendaji wake kazi na kumhakikishia kuwa yeye sio Jipu na anaendana na kasi yake..

1. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (RC) au moja ya mikoa mingine
2. Mkurungenzi Mtendaji wa moja ya Taasisi za serikali (Director General/CEO/Managing Director/...)
3. Mwenyekiti wa Bodi katika moja ya Taasisi ya Serikali (Board Chairman...)
4. Balozi (Ambasador/ High Commissioner....)
5. Waziri au Naibu waziri...(Minister/Deputy Minister..)
6....

Ongezea na yako...
Mkuu wa Wilaya ya Mpya ya Msoga au Chalinze
 
Atapewa ukuu wa mkoa wa jiji moja wapo wakijiandaa kumpa mkoa wa Dar
 
Hapo wala sichangii kitu.Mbona JPM ndio zake makapi kwake no majembe.MUHONGO NAPE MAGHEMBE MWAKYEMBE KIGWANGALA MWIGULI N.K NI UNAFIKI TU MBONA NI MIZIGO YAKE YOTE.NA SASA MAKONDA. .. CCM NI ILE ILE !
 
Makonda hapendwi na watu,haswa waungwana wa UKAWA. Ni hazina kubwa sana ya taifa, energetic, young, focused na ni aina ya mtu anayefanana na rais wa sasa, anao ule uwezo wa kuthubutu kufanya jambo. Haendekezi siasa, na hiyo ni sifa ya CCM, uwezo wa kuandaa vijana kwa ajili ya kesho na keshokutwa.
 
At finally, baada ya kufanya kazi usiku na mchana za maendeleo alizokua akizipiga Mh DC licha ya watu kumkejeli mara muuza sura, mara anajipendekeza , mara mtovu wa nidhamu lakini kwa hayo yote mwisho ameweza kuonekana kwa utendaji kazi wake na kumgusa, kumdatisha au ama si kumkuna mzee wa #HapaKaziTu...
Je unaweza kupredict ni kazi gani inayofata anayoweza kupewa kwa kuongezewa cheo Mkuu wa wilaya ya kindondoni baada ya hii ya uDC baada ya Mh JPM kuridhika na utendaji wake kazi na kumhakikishia kuwa yeye sio Jipu na anaendana na kasi yake na kustahili kula shavu lingine sehemu yoyote..

1. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (RC) au moja ya mikoa mingine
2. Mkurungenzi Mtendaji wa moja ya Taasisi za serikali (Director General/CEO/Managing Director/...)
3. Mwenyekiti wa Bodi katika moja ya Taasisi ya Serikali (Board Chairman...)
4. Balozi (Ambasador/ High Commissioner....)
5. Waziri au Naibu waziri...(Minister/Deputy Minister..)
6....
Mimi nitafurahi zaidi kama Mh. Rais atamteua Mhe. Makonda kuwa mkurugenzi wa Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu au Mkurugenzi mkuu wa NSSF kwani nathani akipelekwa kwenye eneo mojawapo atavumbua madudu mengi sana na pia ataziweka sawa mamlaka hizo.
 
Back
Top Bottom