Tetesi: Hii ndio kazi inayofuata atakayopewa Makonda na Rais Magufuli

Daaaah!!! Ina maana hata magu anaibaga simu?

Hebu acha kumfananisha Rais na watu wapumbavu bana.

Lini ulimuona Rais anapiga wazee vibao.
Wapi ulimuona Rais anabeba watoto wa JK na kufunga kamba za viatu ili apewe cheo?
Acha kumfananisha Rais na watu wajingajinga bana.
 

daah nilikuwa silijui hili mkuu!
Inasikitisha sana na kuudhi kweli
 

6. Ongezea mfua sokx kwa Mh. kwani alitoka kusafisha viatu vya Riz1

7. Mpiga deki kwenye vi-veranda vya Ikulu au kwa Mkuu wa Mkoa.

Tena hizo za mwisho zinamfaa sanaaaaaaa ndo size yake yakheeee!!!!!!!!!!!!
 
Na mpaka sasa hajasema kitu na yule Mkurugenzi waliyemsimamisha kazi kasema anataka apelekwe mahakamani.
Mkuu hii nchi ni zaidi ya inavyo onekana kwenye ramani
 
Namba tano, waziri wa mambo ya ndani, Kitwanga out. Kama aliweza kumkung'uta Joseph Warioba raia watapondwa pondwa sio kupigwa tena.
 
According to picha aliyopigwaga akimfunga Riz1 kamba za viatu nadhani atawezapewa hii kazi,sio jambo dogo lile alionekana.
 
Namba 2 na 3 HAIWEZEKANI. Labda hizo namba nyingine.
 
Namba 2 na 3 HAIWEZEKANI. Labda hizo namba nyingine.
Hamy upo?Habari za toka uchaguzi upite. Mwaka huu mmekosea mkamleta mtu anaye ahidi anatekeleza. Tulizoea kina mjomba msoga wakiahidi hawatekelezi. Mpeni na chama asafishe.
 
Mbona Magufuli alisema yeye ni mwadilifu na mcha Mungu. Au vijana wavuta bangi wasio na nidhamu hata kidogo, wawapigao makofi wazee wao ndio ndio kwake wapiga kazi hiyo kustahili kupandishwa vyeo? Too contradictory in deed.
 
Aliyempa sifa mbele ya wale wazee wa Dar akisoma alichokisema Meya wa Kinondoni juu ya ufanyaji kazi wa Makonda na style yake ya Lusaka sifa kwa kuingilia mamlaka zisizo muhusu atabadili msimamo na kugundua kuwa alikuwa anaingizwa mjini. Yaani anatolewa Chato na kuingizwa Dar.
Siku nyingine mkuu asimsifie hadharani mtu kwa kusoma magazeti na kusikiliza Cloud media ataaibika maana anaweza kusifia kibaka. Atumie vyombo vyake kuchunguza kabla ya kunena
 
Kwenye RED ngumu kumeza ila hizo zingine sawa
Utendaji Vs Siasa
 
Sisi watanzania na umbeya ni watoto wa tumbo moja. Yote uliyoyaandika wewe ni matunda ya kusoma habari za MAWIO na magazeti mengine yenye viwango vidogo vya journalism. Sio habari za kweli, ni mambo ambayo yanaandikwa kwa lengo la kumchafua mtu.
 
Sisi watanzania na umbeya ni watoto wa tumbo moja. Yote uliyoyaandika wewe ni matunda ya kusoma habari za MAWIO na magazeti mengine yenye viwango vidogo vya journalism. Sio habari za kweli, ni mambo ambayo yanaandikwa kwa lengo la kumchafua mtu.
Stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…