List hii bila ya kuwepo Harmonize ni batili kwangu.HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
Hovyo kabisaa huyo jamaa.Mtoe Kiba
HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
Mtoa mada ambacho alitakiwa kusema wasanii ambao wanajua kueleza vitu vya msingi na maana kwenye interview zao na ambao ukisikia au ukiona wana interview uchoshwi kuwasikiliza na unatamani waendelee....Kabisa jamaa namuona mweupe sana kwenye interview na majibu ya shortcut inawezekana jamaa maneno machache.
mmmh hizi timu zenu za mchangani zimezidiMtoe Kiba
Nimeshamsikiliza lakini si mmoja ya wasanii ambao unaweza kuwambia watu wamsikilize akiwa anafanya interview...anajitahidi na anaonesha ukuaji....kinachovutia wengi kwenye maongezi yake dogo janja ni kujitahidi kuongea kama mkubwa...Umemsahau janjaro wewe
Hao majaa uliwataja kweli ni MAKONKI kwenye Interview.Mtoa mada ambacho alitakiwa kusema wasanii ambao wanajua kueleza vitu vya msingi na maana kwenye interview zao na ambao ukisikia au ukiona wana interview uchoshwi kuwasikiliza na unatamani waendelee....
Ni ukweli usiopingika wasanii wengi wa muziki wa kufoka wanao uwezo mkubwa wa kuongea vizuri na vya maana hata kujibu maswali vizuri sana.
Kwangu mimi hadi sasa wasanii ambao wana hivyo vigezo na ambao uwezi kinai interview zao ni
Fid q, Mwana FA na Wakazi hawa ndio wasanii ukiwasikiliza unatoka na kitu kwa upande wangu...
Halafu ni kweli kila msanii anajua kujieleza maana hata pumba nazo ni kujieleza pia....lakini ukweli ni kwamba kuna wasanii wachache sana wana mvuto kuwasikiliza..
Hapo kwa Ali Kiba ndio umeharibu kila kitu na thread yako haina maana tena.HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
Athuman a.k.a Patrick anajua sana kujieleza.Wengine wababa wazee kabisa wanashindwa na Patrick Kanumba...mtoto anajua kujieleza yule yaani yupo smart mpaka raha
Anaitwa Othman Njaidi not AthumanAthuman a.k.a Patrick anajua sana kujieleza.
Unajielewa kweli?????Anaitwa Othman Njaidi not Athuman
Ni kweli sijielewi boss..am sorryUnajielewa kweli?????
Ndio maana basi.Ni kweli sijielewi boss..am sorry