Hii ndio maana halisi ya 'Ubaya Ubwela'

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629


Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika

1. Simba haikuchukuwa tuzo ya Mashabiki bora kwa upendeleo
2. Makofi kwa Mashabiki wa Simba na Semaji wao
 
Baada ya 5imba day, kutafuata maumivu mfululizo..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ