Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ubaya Ubwelaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataingiaje bure wakati hawaichangii timu muwekezaja anarudishaje hela aliyowekeza kwenye rasirimali watu,(kununua wachezaji)
Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika
1. Simba haikuchukuwa tuzo ya Mashabiki bora kwa upendeleo
2. Makofi kwa Mashabiki wa Simba na Semaji wao
Usiwashitue Acha MAKOLO yakanyaganeNaona mmeanza kunenepa ligi ikianza mnakuwa vimbaumbau
Huu mchezo hauhitaji povuHuna akili🚮
Wewe ni kolo?Huu mchezo hauhitaji povu
Mimi ni Raia wa kawaida tu.Wewe ni kolo?
Nishakujua! Subiri tar 8 tuwakande vizuriMimi ni Raia wa kawaida tu.
Weka akiba ya maneno.Nishakujua! Subiri tar 8 tuwakande vizuri
Nina uhakika na nisemachooWeka akiba ya maneno.
Na Bado ukifika uwanjani majukwaa Yana mapengo ya kutosha, hii inaitwa kujitekenya na kucheka mwenyewe, maana Simba day iliyopita ilikua kama hivi, Sold out ila uwanjani mapengo kibao.Anasubiri offer, ajitokeze mtu wa kuwanunulia tiketi waingie bure!
Bilashaka umelewa! Simba Day zote uwanja huwa Full na sijawahi kuona Siku wa Gongowazi ikijaza uwanja! Nyie hayo siyo mambo yenu, subirini mtu ajitokeze awanunulie tiketi na bado hamtajaza uwanja! Ila ni sawa, nikiangalia aina ya mashabiki wa vyura wengi hali si hali.Na Bado ukifika uwanjani majukwaa Yana mapengo ya kutosha, hii inaitwa kujitekenya na kucheka mwenyewe, maana Simba day iliyopita ilikua kama hivi, Sold out ila uwanjani mapengo kibao.
Nawakumbusha tu misimu yote ata msimu uliopita Tff takwimu zao zinazo yesha Yanga ndio timu ambayo mechi zake Zina mashabiki wengi iwe nyumbani au ugenini.
Tumeona msimu uliopita uwanja ulikua na nafasi nyingi na hapo ndipo malipo shtukiwa kuwa mnajitekenya.Bilashaka umelewa! Simba Day zote uwanja huwa Full na sijawahi kuona Siku wa Gongowazi ikijaza uwanja! Nyie hayo siyo mambo yenu, subirini mtu ajitokeze awanunulie tiketi na bado hamtajaza uwanja! Ila ni sawa, nikiangalia aina ya mashabiki wa vyura wengi hali si hali.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Vipi huko utopoloni mauzo ya tiketi yanaendeleaje?Tumeona msimu uliopita uwanja ulikua na nafasi nyingi na hapo ndipo malipo shtukiwa kuwa mnajitekenya.
Kwakua msimu huu mmetumia njia ileile ya chupri nina hakika tuta shuhudia maeneo mengi yakiwa wazi kama ilivyokua msimu ulio pita.