Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kusubiri offer za bure,mademu ndo wanapelekwa gesti bureTumeona msimu uliopita uwanja ulikua na nafasi nyingi na hapo ndipo malipo shtukiwa kuwa mnajitekenya.
Kwakua msimu huu mmetumia njia ileile ya chupri nina hakika tuta shuhudia maeneo mengi yakiwa wazi kama ilivyokua msimu ulio pita.
Yanga hawahitaji kujidanganya wenyewe, wao takwimu zao kuhusu uingiaji viwanjani uwa zinatolewa na TFF na ndio timu inayo ongoza kwa takwimu kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani.Acheni kusubiri offer za bure,mademu ndo wanapelekwa gesti bure
Baleke ana hasira na 5imba, Mwamba wa LUSAKA ndo usiseme anawatamani haswa, Aziz Ki a.k.a Jini lazima awaweke. Yule aliyewafunga Mbili, MPIA, anawataka sana, PAKOME lazima awakomeshe..!! huyo msemaji wenu atakosa cha kuongea. ATARUDI KWENYE KAULI YAKE YA KWAMBA MWENYE ROHO NGUMU TU NDO ANAWEZA AKAENDELEA KUISHABIKIA 5IMBA AKIWA NDANI YA UWANJA#Semaji Jeshi La Mtu Mmoja
🤣🤣🤣Baleke ana hasira na 5imba, Mwamba wa LUSAKA ndo usiseme anawatamani haswa, Aziz Ki a.k.a Jini lazima awaweke. Yule aliyewafunga Mbili, MPIA, anawataka sana, PAKOME lazima awakomeshe..!! huyo msemaji wenu atakosa cha kuongea. ATARUDI KWENYE KAULI YAKE YA KWAMBA MWENYE ROHO NGUMU TU NDO ANAWEZA AKAENDELEA KUISHABIKIA 5IMBA AKIWA NDANI YA UWANJA