Hii ndio mbinu bora ya kuuza bidhaa zenye bei kubwa.

Maka99

Member
Joined
Aug 9, 2024
Posts
7
Reaction score
6
Moja ya kazi ngumu kwa mfanyabiashara/mtu wa mauzo.

Ni kuuza bidhaa/huduma za bei kubwa kubwa.

…..Kuna sababu nyingi tu ambazo huchagiza hali hiyo

Ikiwemo kupoteza pesa nyingi kwa wakati mmoja (financial risk)

Au hicho kitafanya kazi iliyokusudiwa ? (functional risk)

Au watu watanicheka nimenunuaje huduma/bidhaa hii kwa hela nyingi hivi (social risk)

Lakini licha ya sababu hizi, bado biashara lazima zifanyike na mauzo yapatikane.

Yanapatikanaje na inafanyikaje, ndio swali la msingi hapa.

Twende taratibu, utajua hapa hapa!

Kabla sijakupa siri hii, ni muhimu kujua kwamba.

Ili uweze kuuza bidhaa/huduma za bei ni lazima upunguze risk kwanza.

Tumezitaja hapo juu, tumesema kuna functional, perceived, social, financial nk.

Sasa hapa chini tuichambie siri hii.

1. Pesa kisiwe kiapumbele, moja ya changamoto ya wafanyabiashara wengi ni kufanya pesa ndio kipaumbele. Kufanya hivo ni makosa, kipaumbele inatakiwa kuwa thamani ya ujumla ambayo utatoa (total value). Kwa watu wa online, mzigo utafikaje, utafungwaje, muda utakaotumia, aina ya usafiri, nk hapa sijazungumza pesa bado.

2. Jibadilishe kutoka kuwa muuzaji tu mpaka kuwa mwalimu (teacher), msaidizi (helper), muwezeshaji manunuzi (facilitator) muongozaji manunuzi (supervisor) nk. Kwa kufanya hivi unaweza uza chochote, hata ambacho mtu alikuwa haihitaji kwa muda huo😁

3. Kati yenu hapo ofisini mmoja awe assigned as professional one. Hii itapunguza risk zote ambazo nimezisema hapo juu. Hakuna mtu ambaye yupo tayari kununua kitu chenye thamani ya 2m kila baada ya miezi miwili. Kuepuka hili watu wanataka “assurance”, assurance inapatikanaje, mfano kuulizwa maswali na wafanyakazi wenzie wakati wateja wapo ili kupata ufafanuzi.

4. Epuka kutaja bei kabla ya maelekezo ya utangulizi/ushauri. Kwa kufanya hivyo lazima utawakimbiza wateja, kwa sababu wakianza kutafuta uhalali “justification” ya bei yako hawatoipata hata kama bei yako ipo sawa.

5. Jikite kwenye kutatua tatizo moja kwa moja. Kama ulikuwa unajiuliza ni wakati gani wa kuzungumza lugha moja na mteja, kuzungumza lugha ya mteja, au kuzungumza anachopenda kusikia ni ku focus kwenye tatizo. Kulisema tatizo na kuonesha njia za kulitatua.

#letstalkbusiness
0757996880
 
Maka bakuhutaj kufundisha vijana wangu, japo mkitafutwa hamtafutiki au na nyie mnakuwa charge garama juu sana sijui kwa nn
 
Lakini maelezo mengi sana pia huchangia kuonekana tapeli. Kama huduma au bidhaa ni nzuri maneno huwa machache.
Na hii ndio wale wauza bidhaa mkononi wamwkopy na kupaste, siku hizi nikimuona mtu tu anaanza naomba nikuelezee bidhaa hii hata kama nina nafasi namwambia asante. Maka tuambie hapa inakuaje. Imefika mahali ukiwa na maelezo maelezo tunakuona tapeli muuzaji anachapa promo na kukudanganya ununue apate fedha
 
Sales team wengi kuna kitu wanashindwa kufanya, ama kwa kujua au kutokujua. Kwenye sales strategy, sales manager lazima awafundishe sales representative time management, occasional, & how to establish conversations with customers. Sasa utakuta mtu kakukuta unapanda daladala umechoka sa 10, halafu anakwambaia njoo nikuelekeze, hata mimi nakataa 😂
 
Back
Top Bottom