computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
Uchafu mtupu hapaKwangu sikosi
1. Litty ya Tory Lanez na Meek Mill
2. Stay Schemini ya Rick Ross
3. 3500 ya Travis Scott
4. Trophies ya Young Money
5. Trap Queen ya Fetty Wap
Hapo #29 Dreams and nightmares siioni kama ina beat kali
Make it rain ya Fat joeMimi nimeshangaa eti "ridin dirty" haipo kwenye list.
In da club ya 50 cents haipo.
Bonnie and Clyde ya Jay Z na Beyonce haipo.
Run this town na Jay z na Kanye haipo.
Make it rain ya Lil Wayne haipo.
Wanna rock ya Uncle Snopp sijaiona.
Roll up ya Whiz Khalifa haijakumbukwa.
Not afraid ya Eminem haijatajwa.
Mimi nadhani list irudiwe!
[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahah sasa mwaka 2004 ni mwaka wa kuzaliwa kweli? 😂Hata JK hakuwa Rais bali Mkapa
Watu wamezaliwa 2009 na wameanza gawa utamuHahahahah sasa mwaka 2004 ni mwaka wa kuzaliwa kweli? [emoji23]
Kuzeeka kunakuja kwa kasi ya ajabu.Watu wamezaliwa 2009 na wameanza gawa utamu
Na mautundu yote wanayaweza kunako 6×6Watu wamezaliwa 2009 na wameanza gawa utamu
Kwa kweliMimi nimeshangaa eti "ridin dirty" haipo kwenye list.
In da club ya 50 cents haipo.
Bonnie and Clyde ya Jay Z na Beyonce haipo.
Run this town na Jay z na Kanye haipo.
Make it rain ya Lil Wayne haipo.
Wanna rock ya Uncle Snopp sijaiona.
Roll up ya Whiz Khalifa haijakumbukwa.
Not afraid ya Eminem haijatajwa.
Mimi nadhani list irudiwe!
[emoji28][emoji28][emoji28]
Ndo hapo kitoto cha miaka 14 ila kiko fiti balaa.Na mautundu yote wanayaweza kunako 6×6
Ndio maana wahuni washasanuka ni kuichapa na kusepaNdo hapo kitoto cha miaka 14 ila kiko fiti balaa.
Huwa mawaonea huruma wataokuja waoa
1_ Jay Mo kama unataka DemKibongo bongo:
Professional ya Fod Q
Propaganda ya Fid Q
Playboy ya Nikki Mbishi
Daresalaam stand up ya Chidi Benz
Ukisikia paah (remix) ya JCB
Classic ya One, nikki na Stereo
Byebye ya Joh Makini
Hawatuwezi ya Nako2Nako
Bow wow- Fresh azimiz[emoji91]
Bila nyimbo yoyote ya 50 cent, bado hamjanishawishi.Kwa mujibu wa RAP CAVIAR na Spotify hizi ndio ngoma 50 zenye Beats kali kuwahi kufanywa.
Una maoni gani hapa?
1. Still Dre - Dr. Dre & Snoop Dogg
2. Shook Ones Pt. II - Mobb Deep
3. Grindin' - The Clips
4. Who Shot Ya? - The Notorious B.I.G
5. A Mill - Lil Wayne
6. Power - Kanye West
7. Its About the Benjamins - Puff Daddy
8. Still Tippin' - Mike Jones, Paul & Slim Thug
9. SICKO MODE - Travis Scott & Drake
10. Get Ur Freak On - Missy Elliot
11. Nuthin' But a G Thang - Dr. Dre & Snoop
12. C.R.E.A.M - Wu-Tang Clan
13. The Message - Grandmaster Flash
14. N**** in Paris - JAY-Z & Kanye West
15. We Gonna Make It - Jadakiss & Styles P
16. Throw Some D's - Rich Boy
17. Big Pimpin - JAY-Z & UGK
18. The Choice Is Your - Black Sheep
19. Put Ur Hands Where My Can See - Busta Rhymes
20. I got 5 On It - The Luniz & Michael Marshall
21. Flava In Ya Ear - Craig Mack
22. Dipset Anthem - The Diplomat
23. They Reminisce - Pete Rock & SL Smooth
24. Some Cut - Trillville
25. Luchin' AKA This Is It - Camp Lo
26. NY State of Mind - Nas
27. Runnin - The Pharcyde
28. Liquid Swords - GZA
29. Dreams and Nightmares - Meek Mill
30. Knuck If You Buck - Crime Mob, Lil Scrappy
31. Ambitionz Az A Ridah - 2Pac
32. Childdren's Story - Slick Rick
33. Mass Appeal - Gang Starr
34. Mask Off - Future
35. B.M.F - Rick Ross & Styles P
36. Ruff Ryders' Anthem - DMX
37. Electric Relaxation - A Tribe Called Quest
38. Whoa - Black Rob
39. Im Bout It, Bout It - TRU, Master P, Mia X
40. March Madness - Future
41. My Hitta - YG, Jeezy, Rich Homie Quan
42. Ha - JUVENILLE
43. m.A.A.a city - Kendrick Lamara
44. They Know - Show Lo
45. Down 4 My N*** - C-Murder, Snoop
46. Cell Therapy - Goodie Mob
47. 93 Till Infinity - Soul of Mischief
48. Paid In Full - Eric B & Rakim
49. Ridin Spinners - Three 6 Mafia
50. I Dont Like - Chief Keef
Chanzo: RapCaviar/Spotify
Mabiti ya sci Fi ndo kama yapi mkuuYeah Timbaland ni mdeadly japo mwishoni niliona anazingua na mabiti yake ya sci fi
Lil Jon king of crunk ana makelele sana huyu jamaa[emoji1]Hio beat ya Jermaine Dupri ama (JD) nae amezigonga sana 2000-2008 ndio zilikuwa zinaitwa Crunk Beats.