Hii ndio Midundo (Beats) ya Hip Hop 50 Bora ya Muda Wote

Kibongo bongo:

Professional ya Fod Q
Propaganda ya Fid Q
Playboy ya Nikki Mbishi
Daresalaam stand up ya Chidi Benz
Ukisikia paah (remix) ya JCB
Classic ya One, nikki na Stereo
Byebye ya Joh Makini
Hawatuwezi ya Nako2Nako
We jamaa upo kwenye playlist yangu.. hiyo Ngoma ya bye bye Pancho aliua Sana. Dah Mungu amlaze pema
 
Future - 712PM
Future - Codeine Crazy

Key! - Love on Ice

Lil Uzi Vert - 20Min
 
C murder sijui Kwa nn alijiita ili jina, ni kaka ake master P. Yupo jela na kes ya mauaji
 
umenikumbusha miaka ya 2000s na kageto changu kuta zote nimejaza picha za wasani wa miondoko ya kufoka. ujana bana geto napika ugali wa dona na mayai kwa wiki hata mara tano
nikitembea niko na walkman cd player kipindi icho vcd kama sikosei yani apo ndio tozi nachakata mademu vibaya nikirudi mkoani nachakata mademu kwa mstari kijiji kizima daah
 
D knob umeua
 
Kibongo bongo:

Professional ya Fod Q
Propaganda ya Fid Q
Playboy ya Nikki Mbishi
Daresalaam stand up ya Chidi Benz
Ukisikia paah (remix) ya JCB
Classic ya One, nikki na Stereo
Byebye ya Joh Makini
Hawatuwezi ya Nako2Nako
No body is safe 4 - Dizasta vina
 
No body is safe 4 - Dizasta vina

….”Haters haters nmekuja kuwapa msongo wa mawazo mi ni pay cuts”

…..”nlikotoka bingwa ila jamii imeshiba sana ujinga thats the reason im not famous”

dizasta vina street verified [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…