Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Utaijua tu
Pombe kali za bei rahisi, kichupa kizima 2,200 nusu 1,100, zipo za 2,000 mpaka nusu 1,000
Bima raia wake wamekata bima za kupata tiba mahospitalini lakini ikitokea wamezidiwa na kwenda hospital husika wanaambiwa bima haifanyi kazi wanabidi walipie Cash ndio wapate huduma
Police wake/jeshi linamuona raia sio kitu kabsa , halijali kuhusu raia wake mpaka wanaogopwa mitaani ambapo wanaishi na kuchukiwa na raia wake
Miundombinu ya barabara wembamba wa barabara ya mkoa inasababisha ajali kila kukicha na hakuna jitihada zozote kuipanua iwe rafiki Kwa raia wanaosafiri kila leo
Wakulima hakuna wa kusikiliza vilio vya hawa raia walimaji na ni sector kubwa sana nchini, ni utasikiliza nini wanasema serikali bila kushahuriana nao, zao fulani utauza bei fulani full stop no discussion
Ajira hakunaga ajira hiyo nchi, idadi ya wahitimu ni kubwa sana lakini hakuna pa kuajiliwa wapo tu mitaani wanauza mitumba, wapeni mikopo wajiajiri hapana mikopo inatolewa kwenye vyama vyao pendwa vya nchi
Askari wa barabarani/trafik wanaandikia makosa maafisa usafirishaji ovyo ovyo bila makosa na wamejawa na rushwa za wazi wazi, yaani abiria wanaona wazi kuwa trafik anachukua rushwa, ovyo sana
Viongozi wake wanawasiliana na raia kana kwamba watemi wa zamani kipindi cha wafalme, wakali sana Kwa raia wao , hawatumii hekma kuwasiliana na raia wao, hawasimamii miradi ipasavyo , pesa ya mradi ataigawa nusu kidogo yake kidogo inaenda kwenye mradi
Usafiri wa viongozi usafiri wa kiongozi gharama yake milion 200 - 500 na Kwa gharama hiyo na ukubwa wake unakuta kitongoji anachokisimamia hakina zahanati na ikiwepo dawa hakuna na wauguzi wachache, posho zao zipo juu sana ukilinganisha na maisha ya kawaida ya raia wake, hawana uzalendo
Wawekezaji ni Bora tu wao wapate pesa kutoka Kwa wawekezaji wanaingia nchini kufanya nini hiyo sio juu yao , makampuni ya wakopeshaji, malipo yapo juu Sana, makampuni ya kubet hayana sheria yeyote kutoka Kwa serikali yanajichagulia nini yafanye kwenye nchi hiyo, mapombe makali yanauzwa tu bila mpangilio, Kwa bei raisi, hawamfikirii kijana wa kesho
Wana deal na watu ili kumdhulumu raia wake Mfano unanunua kiwanja unapitia sehemu zote za serikali na ushuru unalipia mpaka mahakamani unafika kuhakiki kiwanja , lakini baada ya mda unakuja kupewa taarifa kuwa unedhulumiwa kiwanja, Sasa kulikuwa na haja gani? ya Mimi kupitia mahakamani so ni mipango tu Ili kumdhulumu raia wake
Kupata mafao Yao baada ya kustaafu sector binafs na serikalini Kipengele kipo hapo hasa sector binafs , inageuka vita kuanza kufuatilia mafao yako uliyoyafanyia kazi zaidi ya miaka kuyapata inakuwa kipengele na ukiwa mzembe unaweza kuyapata baada ya miaka 20 baada ya kustaafu
Kuna mengi sana ila hayo ni baadhi tu yatakufanya uitambue hiyo nchi inayomuona raia wake ni zinga la jinga