Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

1. DAR - ES - SALAAM

Majiji Mengine ....

2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili
3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k.
4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa watalii na matajiri wachache wenye kampuni za utalii na migodi nje ya mkoa, si kwa wananchi wa kawaida
5. DODOMA
6. TANGA

Uzuri wa jiji sio majengo tu ya mjini, ni mnyumbuiko wa mambo mengi sana kama:

  • Upatakanaji na unafuu wa Vyakula
  • Mzunguko wa Pesa ndani ya jiji
  • Hali nzuri ya hewa.
  • Huduma ya maji
  • Shule na vyuo
  • Ajira-wingi wa Makampuni na Viwanda
  • Stendi za Mabasi
  • Viwanja vya ndege
  • Hospitali
  • Barabara
  • Hoteli na Lodges
  • Timu za mpira - Ligi kuu
  • Kumbi za Starehe
  • Uzuri wa makazi ya watu
  • Usalama
  • Masoko makubwa Mall na Supermarkets
Headline yako haiendani na ulichoelezea,umesema majiji mazuri halafu unaingiza majiji kama Mbeya unasifia uzuri wake ni vyakula na huduma za maji,hapo ukizungumzia uzuri wa muonekano wa mji ukitoa Dar,Arusha na Mwanza inafuatia Dodoma...
 
Mmeanza kupigania visivyowapa faida,, ni kama mko stressed na personal life zenu mnakuja kupumzikia kubeza mikoa msiyoishi.
Ningeshangaa kama wavuta bangi wa mianzini, na sanawari hawajaja kulalamika
 
vizuri mno, na nimezaliwa Mbeya.
Kuzaliwa Mbeya sio kuijua Mbeya.

Hizi picha zimepigwa Mbeya sehemu gani? 👇👇
IMG_20240726_183819_066.jpg
IMG_20240726_183619_222.jpg
IMG_20240727_073439_648.jpg
 
Akikujibu nitag 😄
Mtu wa ziwani uyo nliona post zake
Anajifichia kwa kivuli cha mbeya
 
Itaichukua Singida miaka 500 kufika ilipo Arusha saiv.
Kumbuka kwenye makusanyo ya TRA ikitoka Dar ni Arusha.
Yaan tukisema kila mkoa utumie makusanyo yake mikoa kama Mwanza,mbeya,Tanga itapelekwa intensive care unit.
We nae hujui kitu, yaan mapato yapi labda ya jiji tuu na sio mkoa mzima. Mfano mbeya haina wilaya hata moja ambayo inamapato chin ya 5B. Wakat arusha sio wilaya zote. Mpende kusoma na kujifunza ukabila utawamaliza, mfano moshi inazidiwa na kamji ka tunduma
 
We nae hujui kitu, yaan mapato yapi labda ya jiji tuu na sio mkoa mzima. Mfano mbeya haina wilaya hata moja ambayo inamapato chin ya 5B. Wakat arusha sio wilaya zote. Mpende kusoma na kujifunza ukabila utawamaliza, mfano moshi inazidiwa na kamji ka tunduma
Sasa ww kiaz unaakili kwel? Niliyemwambia hajabisha kwasababu takwimu zimewekwa hapa hapa.
Unatoka huko na wenge zako unaanza kuingiza hadi mada za ukabila😏 huna akili kabishane na TRA.
 
MWANZA 😭...hili jiji wakazi wake ni kama watumwa...ogopa jiji linalosifika kwa gharama nafuu za maisha jua hapo mzunguko wa hela uko chini mnoo...kampuni nyingi na viwanda vingi wanalipa mishahara kiduchuu sana, usiombe uajiriwe na wahindi au wachina sahau hata kujenga, nilishuhudia mtu analipwa ujira wa kibarua wa elfu 40 kwa mwezi kiwanda cha soda maarufu hapo Mwanza...kisa eti wanapewa chakula bure...bado ukisema ujiajiri biashara zao za kibaguzi sana, kama huongei kisukuma au kikurya na kijaluo utapata tabu sana 😢 na mgeni ukitoboa bado watataka wakuloge, wao kila kitu ni ushirikina tu, ni bora ukatesekee manzese utatoboa ila sio Mwanza utarudi ukiwa na shipa kisa ulikua umepatia channel....maeneo mengi mazuri Mwanza ukuchunguza source yake ni madini Geita au Foreigners.
Ww ni Muongo mambo ya ukabila hayapo ila kufanya kazi za wahindi manyanyaso ni tabia yao hata ufanye kazi zao dar
 
Mbeya ni kijiji kikubwa soo jijj
Hiv chuki dhidi ya Mbeya chanzo ni nini?

Nilifikir Watanzania tujivunie kuwa na jiji Kama Mbeya au Mkoa mzima wa Mbeya.

Maana ukiangalia Kwa fursa na uzuri wa maisha hakuna Kama Mbeya.

Ukija jamiiforum utasikia mtu anamwambia Mbeya kuna mzunguko mdogo wa pesa .

Mtu anasema hayo ilihali Mbeya ndiko kwenye kilimo cha uhakika Zaid nchi hii,

Mbeya ni miongoni mwa mikoa yenye Dhahabu

Mbeya ina ziwa Nyasa

Kitaaluma Mbeya haishikik maana watu wa Mbeya wanaisaka elim balaa

Kwa Sanaa na michezo Mbeya ndio mahali pake.

Kwa huduma za usafir Mbeya NI balaa ,, hiv ukitoa Mbeya nchi hii kuna Mkoa Una mabasi ya kutosha yanayofanya Safar za Kwenda Dar kuliko mkoa wa Mbeya?
 
Singida bado ni kijiji, sio jiji!.
Siku mkianza kuacha kula yale masamaki yenu ya ajabu yanaitwa kamongo tutawafikiria...sawaa?!.
Yake masaki yaliyokaa kama masharti yaliyoanikwa ndiyo kamongo? Mbona matamu sana? Niliyala Singida 2007.
 
Back
Top Bottom