Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

Headline yako haiendani na ulichoelezea,umesema majiji mazuri halafu unaingiza majiji kama Mbeya unasifia uzuri wake ni vyakula na huduma za maji,hapo ukizungumzia uzuri wa muonekano wa mji ukitoa Dar,Arusha na Mwanza inafuatia Dodoma...
 
Mmeanza kupigania visivyowapa faida,, ni kama mko stressed na personal life zenu mnakuja kupumzikia kubeza mikoa msiyoishi.
Ningeshangaa kama wavuta bangi wa mianzini, na sanawari hawajaja kulalamika
 
Akikujibu nitag πŸ˜„
Mtu wa ziwani uyo nliona post zake
Anajifichia kwa kivuli cha mbeya
 
Itaichukua Singida miaka 500 kufika ilipo Arusha saiv.
Kumbuka kwenye makusanyo ya TRA ikitoka Dar ni Arusha.
Yaan tukisema kila mkoa utumie makusanyo yake mikoa kama Mwanza,mbeya,Tanga itapelekwa intensive care unit.
We nae hujui kitu, yaan mapato yapi labda ya jiji tuu na sio mkoa mzima. Mfano mbeya haina wilaya hata moja ambayo inamapato chin ya 5B. Wakat arusha sio wilaya zote. Mpende kusoma na kujifunza ukabila utawamaliza, mfano moshi inazidiwa na kamji ka tunduma
 
Sasa ww kiaz unaakili kwel? Niliyemwambia hajabisha kwasababu takwimu zimewekwa hapa hapa.
Unatoka huko na wenge zako unaanza kuingiza hadi mada za ukabila😏 huna akili kabishane na TRA.
 
Ww ni Muongo mambo ya ukabila hayapo ila kufanya kazi za wahindi manyanyaso ni tabia yao hata ufanye kazi zao dar
 
Miezi hii sio ya kutembelea Kijiji Cha Jiji la Mbeya. Kuna vumbi sana Singida wakasome..
 
Mbeya ni kijiji kikubwa soo jijj
Hiv chuki dhidi ya Mbeya chanzo ni nini?

Nilifikir Watanzania tujivunie kuwa na jiji Kama Mbeya au Mkoa mzima wa Mbeya.

Maana ukiangalia Kwa fursa na uzuri wa maisha hakuna Kama Mbeya.

Ukija jamiiforum utasikia mtu anamwambia Mbeya kuna mzunguko mdogo wa pesa .

Mtu anasema hayo ilihali Mbeya ndiko kwenye kilimo cha uhakika Zaid nchi hii,

Mbeya ni miongoni mwa mikoa yenye Dhahabu

Mbeya ina ziwa Nyasa

Kitaaluma Mbeya haishikik maana watu wa Mbeya wanaisaka elim balaa

Kwa Sanaa na michezo Mbeya ndio mahali pake.

Kwa huduma za usafir Mbeya NI balaa ,, hiv ukitoa Mbeya nchi hii kuna Mkoa Una mabasi ya kutosha yanayofanya Safar za Kwenda Dar kuliko mkoa wa Mbeya?
 
Singida bado ni kijiji, sio jiji!.
Siku mkianza kuacha kula yale masamaki yenu ya ajabu yanaitwa kamongo tutawafikiria...sawaa?!.
Yake masaki yaliyokaa kama masharti yaliyoanikwa ndiyo kamongo? Mbona matamu sana? Niliyala Singida 2007.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…