Miaka yote walikuwa wanaweka kwa wakati. Labda walipigwa stop..Hao nao wawe Wana update data yaani tuko 2020/21 bado wanaleta Takwimu za 2018/19 tena zinaishia kota ya tatu
Tupe basi mkuu vyanzo vya mapato vinatoka wapi huko Tunduru?Unaongea na mtu ambaye huko kote nacheza.. Tena huwa siishii mjini tu, napita mpaka vijijini kwahiyo hali halisi naijua..
Huwezi kuiweka Tunduru mbele ya Masasi au Nachingwea kwa hali yeyote ile..
Gemstones na mazao ya biashara kama Ufuta na Korosho kiasi..Tupe basi mkuu vyanzo vya mapato vinatoka wapi huko Tunduru?
Pengine na ukubwa wa Wilaya unachangia lakini pia mapato ya hifadhi
Pengine hali zinabadilika maana kwa miaka iliyopita hizo wilaya hazikuwemo kwenye Halmashauri zenye mapato mengi but kadiri mda unavyoenda mabadiliko yanatokeaKwahiyo watu wa Tanga City wana maisha mazuri kuliko wa Moshi MC au Iringa MC??
Unataka kusema Tandahimba wanaishi au wana maisha mazuri kuliko Hai, Masasi, Songea, Njombe??
Nataka za current hizo nimeziona ndo maana nikauliza kwa nini wasiweke hadi za mwaka wa fedha 2020/21? Historia sio dili kwa sasa tunataka tuone matokeo ya jasho letu.Miaka yote walikuwa wanaweka kwa wakati. Labda walipigwa stop..
Ukienda kwenye hizo takwimu ziko za kuanzia mwaka 1974.. Ngoja nikuwekee link
Tanzania Revenue Authority - Tax collection statistics
Okay kwenye germstones huwa naona wafanyabiashara wanaenda Sana hukoGemstones na mazao ya biashara kama Ufuta na Korosho kiasi..
Kwenye madini wengi ni wageni, wenyeji hujishughilisha na kilimo..
Ila hapo kwenye list yako sijaiona Tunduru ngoja nikaiangalie
(Okay nimeona wako 27, wana madini ya vito, labda ndio yanawabeba sana)
UvuviMuleba imeizid bukoba mjini yenye bandari na viwanda na viwanja vya ndege naomba nielimishwe kidogo.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Uvuvi wa visiwan ndo unaibeba sn MulebaMimi mwenyew nashangaa.
Hadi wilaya ya misenyi yenye viwanda kama kagera sugar,kilimo cha vanilla,mpaka wa mutukula na Ranchi kibao inazidiwa na wilaya ya muleba iliyojaa migomba na kahawa
Ndio sasa tuombe ziwekwe..Nataka za current hizo nimeziona ndo maana nikauliza kwa nini wasiweke hadi za mwaka wa fedha 2020/21? Historia sio dili kwa sasa tunataka tuone matokeo ya jasho letu.
Nilishaiona..Okay kwenye germstones huwa naona wafanyabiashara wanaenda Sana huko
Mkuu uwe unasoma kabla ya kuchangia, Tunduru DC ipo no.27
Bagamoyo imekuwaje tena? Hakuna mkwanja kivipi yaani?
1. Utalii
2. Uvuvi/Samaki
3. Kilimo
4. Viwanda
5. Ukaribu na Dar es salaam
6. Hoteli
7. Heritage site(s) - UNICEF
What is not happening???
Pato la Chalinze linashangaza. Eneo kubwa ni pori - Mlandizi/Chalinze,Chalinze kwenda Moro na hivyo hivyo Chalinze Tanga.Kwa kweli hata mimi sijajua,Mkuranga DC na Chalinze japo wengine wanasema ni viwanda
Kweli kuna mikoa hali zao ni mbaya sanaIfuatayo ni orodha ya Miji na Halmashauri 41 pekee kati ya Halmashauri 165 Tanzania ambazo watu wake Wana kipato cha Uhakika na kuwa na purchasing power inayotoa fursa ya uhakika wa biashara kwa Tanzania.
Orodha imehusisha Halmashauri zenye mapato yanayoanzia shilingi za Tanzania bilioni 3.5 kwenda juu.
Orodha hii imetokana na makusanyo ya ndani ya kila Halmashauri kiutoka kwenye vyanzo vya mapato vya Halmashauri ambavyo ni shughuli za kawaida za wananchi kutoka Tamisemi kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Mapato hayo ni nje ya vyanzo vinavyokusanywa na TRA na wakala zingine za.serikali.
Kama wewe ni mfanyabiashara hii itakuwa picha halisi ya uchaguzi wa sehemu ya kuwekeza.
1.Ilala MC=58.6bln
2.Dodoma CC=53.2bln
3.Kinondoni MC=44.5bln
4.Temeke MC=34.4bln
5.Arusha City=19.2bln
6.Ubungo MC=17.9bln
7.Mbeya City=13.0bln
8.Tanga City=12.8bln
9.Mwanza CC=12.2bln
10.DSM CC=11.4bln
11.Ilemela MC=10.2bln
12.Geita TC=9.2bln.
13.Morogoro MC=7.5bln
14.Kahama MC=7.12bln
15.Chalinze DC=7.1bln
16.Mkuranga DC=6.6bln
17.Kigamboni MC=6.4bln
18.Mufindi DC=6.1bln
19.Moshi MC=5.7bln
20.Iringa MC=5.62bln
21.Njombe TC=5.6bln
22.Tunduma TC=5.4bln
23.Tarime DC=5.2bln
24.Kilolo DC=5.0bln
25.Mtwara MC=4.8bln
26.Mafinga TC=4.7bln
27.Tunduru DC=4.7bln
28.Muleba DC=4.61bln
29.Kilwa DC=4.6bln
30.Geita DC=4.5bln
31.Arusha DC=4.01bln.
32.Mlimba DC=4.0bln
33.Mbozi DC=3.97bln
34.Tandahimba DC=3.92bln
35.Mbarali DC=3.9bln
36.Rungwe DC=3.89bln
37.Kilosa DC=3.8bln
37.Mbeya DC=3.8bln
38.Mbinga DC=3.65bln
39.Chato DC=3.64bln
40.Kibaha TC.3.62bln
41.Chunya DC=3.5bln
My take kuna Mikoa/Miji ni ya kuonea huruma mfano Tabora,Singida,Rukwa,Katavi,Kigoma,Simiyu na Manyara.Hii mikoa haina hata Halmashauri moja yenye mapato kwa kiwango cha kuanzia bilioni 3.5 au zaidi
Kiufupi inatoa picha ya hali mbaya ya umaskini wa kipato kwa wananchi wake.Hali kadharika Mikoa ya Dar, Mbeya,Geita na Iringa ina hali nzuri ya kimapato kwa watu wake.
Pdf ya Tamisemi hii hapa [emoji116][emoji116] unaweza kujionea mwenyewe
View attachment 1764113
Hapana Makambako ipo katika Wilaya mpya ya Wanging'ombe makao makuu yake yapo IgwachanyaMakambako ipo ndani ya Mufindi
Hazitoi na ndiyo ujinga uliopo kwenye utalii wetu. Kinachukuliwa kikubwa. Wao hamna cha maana wanachorudisha kwa jamiiHifadhi za utalii huwa hazitoi mirabaha kama hiyo migodi?
Huku twina mapesa wuhulo kiba na hatuzitumii tumezitunza tu MUCOBA nakata nguzo za mlingoti nauza zinachipua baada ya miezi 24 nakata tena zinachipua tuna migodi isihokauka huku labda muache kujenga ndo tutakuwa masikini. WanaMufindi hoiyeeMkoa wa Iringa inaonekana kuna hela sana, hasa Wilaya ya Mufindi.
Hebu ficha upumbavu wako mkuu.Wachaga wengi wameenda shule ila nashindwa kuelewa ule ujinga wanaofanya wa kupoteza rasilimali nyingi kujenga majumba vijijini kwa ajili ya 'pride' ambayo muda mwingi wanaishi popo ukiacha zile week mbili za mwisho wa mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app