Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

Nani kakudanganya kwamba Katoro siyo Geita DC, Katoro ni mji mdogo ulioko Tarafa ya Butundwe Wilaya ya Geita Jimbo la uchaguzi la Busanda Halmashauri ya Geita vijijini. Kama hujui kitu ni bora ukaacha kucoment badala ya kuandika usichokijua.
Katoro sio Geita DC
 
Kelele nyingi moshi hakuna jipya
Ndivyo mnadanganyana? Mbna sasa ipo kwenye orodha? Hahaha vijitu vyenye wivu bhana shida tupu
Watu wa kilimanjaro wamewekeza vijijin Pia ,ni kawaida kukuta hoteli ya nyota 3 kijijin
 
Heshima ya mtu Ni makazi,sisi hatujazoea kuishi vijumba vya tembe aisee,tunajenga Hadi maghorofa migombani huko
 
Nani kakudanganya kwamba Katoro siyo Geita DC, Katoro ni mji mdogo ulioko Tarafa ya Butundwe Wilaya ya Geita Jimbo la uchaguzi la Busanda Halmashauri ya Geita vijijini. Kama hujui kitu ni bora ukaacha kucoment badala ya kuandika usichokijua.
Watu wajuaji sana humu.

Umempa jibu tosha.

Na muongezee makao makuu ya Geita DC ni Nzera.

Tukutane Mnekezi [emoji3]
 
Nani kakudanganya kwamba Katoro siyo Geita DC, Katoro ni mji mdogo ulioko Tarafa ya Butundwe Wilaya ya Geita Jimbo la uchaguzi la Busanda Halmashauri ya Geita vijijini. Kama hujui kitu ni bora ukaacha kucoment badala ya kuandika usichokijua.
Kuna mkuu aliuliza mbona haioni katoro so nilikua namuuliza mkuu samahani sikumalizia alama??
 
Karibu sana Mufindi mkuu, naamini mambo yatakaa sawa tu!
 
Ufafanuzi mzuri
 
Hata wananchi wakifichua,wanasiasa wanaendelea kuwapamba wanaotumia ofisi vibaya. Ummy Mwalimu anakaa na viongozi wa Tanga na kuwasifia kwamba hawagombani. Sasa kutogombana sinikwakua wamelala fofofo. Hivi angekuepo mkuu wa mkoa kama makonda,Gambo,Ally Happi,Mtaka au yule wa Simiyu unadhani hao watu wake anaowasifia wangeelewana. Ila wanaelewana kwasababu wote wanamsikiliza mkurugenzi. Yani viongozi wote kuanzia mkoani mpaka baraza la madiwani. Eleweni kwamba uchawi upo
 
Karibu sana Mufindi mkuu, naamini mambo yatakaa sawa tu!
Aisee... hoping to come some days. Kila mahali paendelee bwana. Ili wivu upungue[emoji23] siyo kila mtu akiwa kiongozi aanze kusimamisha maendeleo ya sehem filan kuhamishia kungine ili ibalance. Nitakuja bestie yangu huko. Ila baridi[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Hujui kitu Mwanza City ni Nyamagana ipo. Ilemela ni Municipal ipo. Sasa jumlisha ya Mwanza jiji na Ilemela halafu linganisha na ya Arusha city jibu utalipata !
Halafu wasukuma wa mwanza wanalinganisha ule mji wao na jiji la Arusha...[emoji3]

Wajilinganishe na Karatu labda
 
Hii hapa
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…