Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Duuh!! Hii dharau sasa.Jumla ya hizo hela ambazo kwetu halmashauri zote zinakusanya kwa mwaka, kwa US unakuta movie moja tu inaingiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!! Hii dharau sasa.Jumla ya hizo hela ambazo kwetu halmashauri zote zinakusanya kwa mwaka, kwa US unakuta movie moja tu inaingiza.
Huo ndio uongo sasa,Mengi ya mapato ya Halmashauri ni shughuli za uchumi za moja kwa moja za wananchi unlike kwenye TRA ambako asilimia kubwa ni kodi ya biashara kubwa na corporateMapato ya halmashauri hayadecide purchasing power ya eneo husika..
Mapato ya TRA ndiyo yanadecide..
Iweke hapa tuone mkuuSio Top Ten ni Top Five
Sio tuu Mufindi bali Iringa na Njombe kwa ujumla wake hususani wilaya za Mufindi,Kilolo na Njombe.Mufindi kuko vizuri sana mkuu, sema tu marehemu alivuruga mambo mengi sana. Miti saa hizi imeshuka bei hivyo wajanja hawavuni wanasubiri bei ipande juu tena.
Nafikiri Muleba ina eneo kubwa Kama wilaya na hivyo kuwa na vyanzo vingi. Asilimia kubwa ya visiwa vya ziwa Victoria vilivyopo mkoa kagera viko ndani ya Muleba hivyo pesa kutokana na uvuvi ni kubwa, kilimo hasa kahawa, ndizi, vanilla, n.kMuleba imeizid bukoba mjini yenye bandari na viwanda na viwanja vya ndege naomba nielimishwe kidogo.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Sio lazima Korosho mkuu pia huko kuna madini na hardwood timbers na Mazao mengineHivi aliyewadanganya Tunduru kuna korosho za kutisha sana ni nani?
Sasa nimeelewa why Magufuli alivunja iliyokuwa halmashauri ya jiji.Maana nimeona Ilala MC,Temeke MC,Kinondoni MC halafu tena DSM CC.Sasa sijui Hilo eneo la Dar lipo wapiIfuatayo ni orodha ya Miji na Halmashauri 41 pekee kati ya Halmashauri 165 Tanzania ambazo watu wake Wana kipato cha Uhakika na kuwa na purchasing power inayotoa fursa ya uhakika wa biashara kwa Tanzania.
Orodha imehusisha Halmashauri zenye mapato yanayoanzia shilingi za Tanzania bilioni 3.5 kwenda juu.
Orodha hii imetokana na makusanyo ya ndani ya kila Halmashauri kiutoka kwenye vyanzo vya mapato vya Halmashauri ambavyo ni shughuli za kawaida za wananchi kutoka Tamisemi kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Mapato hayo ni nje ya vyanzo vinavyokusanywa na TRA na wakala zingine za.serikali.
Kama wewe ni mfanyabiashara hii itakuwa picha halisi ya uchaguzi wa sehemu ya kuwekeza.
1.Ilala MC=58.6bln
2.Dodoma CC=53.2bln
3.Kinondoni MC=44.5bln
4.Temeke MC=34.4bln
5.Arusha City=19.2bln
6.Ubungo MC=17.9bln
7.Mbeya City=13.0bln
8.Tanga City=12.8bln
9.Mwanza CC=12.2bln
10.DSM CC=11.4bln
11.Ilemela MC=10.2bln
12.Geita TC=9.2bln.
13.Morogoro MC=7.5bln
14.Kahama MC=7.12bln
15.Chalinze DC=7.1bln
16.Mkuranga DC=6.6bln
17.Kigamboni MC=6.4bln
18.Mufindi DC=6.1bln
19.Moshi MC=5.7bln
20.Iringa MC=5.62bln
21.Njombe TC=5.6bln
22.Tunduma TC=5.4bln
23.Tarime DC=5.2bln
24.Kilolo DC=5.0bln
25.Mtwara MC=4.8bln
26.Mafinga TC=4.7bln
27.Tunduru DC=4.7bln
28.Muleba DC=4.61bln
29.Kilwa DC=4.6bln
30.Geita DC=4.5bln
31.Arusha DC=4.01bln.
32.Mlimba DC=4.0bln
33.Mbozi DC=3.97bln
34.Tandahimba DC=3.92bln
35.Mbarali DC=3.9bln
36.Rungwe DC=3.89bln
37.Kilosa DC=3.8bln
37.Mbeya DC=3.8bln
38.Mbinga DC=3.65bln
39.Chato DC=3.64bln
40.Kibaha TC.3.62bln
41.Chunya DC=3.5bln
My take kuna Mikoa/Miji ni ya kuonea huruma mfano Tabora,Singida,Rukwa,Katavi,Kigoma,Simiyu na Manyara.Hii mikoa haina hata Halmashauri moja yenye mapato kwa kiwango cha kuanzia bilioni 3.5 au zaidi
Kiufupi inatoa picha ya hali mbaya ya umaskini wa kipato kwa wananchi wake.Hali kadharika Mikoa ya Dar, Mbeya,Geita na Iringa ina hali nzuri ya kimapato kwa watu wake.
Pdf ya Tamisemi hii hapa [emoji116][emoji116] unaweza kujionea mwenyewe
View attachment 1764113
Kwahiyo watu wa Tanga City wana maisha mazuri kuliko wa Moshi MC au Iringa MC??Huo ndio uongo sasa,Mengi ya mapato ya Halmashauri ni shughuli za uchumi za moja kwa moja za wananchi unlike kwenye TRA ambako asilimia kubwa ni kodi ya biashara kubwa na corporate
Sasa kwa mantiki hiyo ni wazi nature ya mapato ya Halmashauri yanatoa picha halisi ya uchumi wa mtu mmja mmja na purchasing power ya watu.
Hata hivyo ukija pia kwenye makusanyo ya TRA still hizo Halmashauri zita feature kwenye list kama kawaida
Magufuli alipiga marufuku kutoa takwimu za mikoa baada ya kuona watu tunarefer tunachokichangia kwenye pato la taifa then haturudishiwi chochote..Iweke hapa tuone mkuu
Unaongea na mtu ambaye huko kote nacheza.. Tena huwa siishii mjini tu, napita mpaka vijijini kwahiyo hali halisi naijua..Sio lazima Korosho mkuu pia huko kuna madini na hardwood timbers na Mazao mengine
Kula milo mitatu kwa siku ni Food AbuseIncome inequality ni kubwa sana hapa Tz hicho sio kigezo cha kujua economic status ya mtu wa kawaida, kwa mfano mwz na dar kuna matajiri ni 1% wanao changia hiyo kodi 99% ni maxhinga mama tilie ambao ni mzingo kwa almashauri kuwahudumia hao watu......Dar na Mwz zinaongoza kwa watu wanao shindwa kupata milo mitatu kwa siku ila kimapato ndo wanaongoza.
Pitia hizi data za TRA mwaka 2019..Sio lazima Korosho mkuu pia huko kuna madini na hardwood timbers na Mazao mengine
Alivunja mwaka huu kwa hiyo mwakani hutaiona hiyo dsm ccSasa nimeelewa why Magufuli alivunja iliyokuwa halmashauri ya jiji.Maana nimeona Ilala MC,Temeke MC,Kinondoni MC halafu tena DSM CC.Sasa sijui Hilo eneo la Dar lipo wapi
Hao nao wawe Wana update data yaani tuko 2020/21 bado wanaleta Takwimu za 2018/19 tena zinaishia kota ya tatuPitia hizi data za TRA mwaka 2019..
Kilimanjaro iko nyuma ya Arusha na Dar peke yake kwenye almost kila collection
Yaa maeneo mengi saizi yako vizuriTARIME nilikuwa napachukulia Poa kumbe pako Poa inabid niende kutafuta furaha..
Kwa kweli hata mimi sijajua,Mkuranga DC na Chalinze japo wengine wanasema ni viwandaNini chanzo kikuu cha mapato chalinze(7.1b)?