Hii ndio perfume ninayoikubali kuliko zote

Yani nkijipulizia hii,najikuta najiamini nikiwa popote na nikiingia sehemu yoyote lazma watu wageuze shingo, sema kula jamaa yngu mmoja alikujaga kwangu akataka kujipulizia kama dawa ya mbu alichezea bonge la kofi,kwa hasira akataka tupigane but mwisho wa siku akataka aninunulie nyingine kufika mjini ameulizia bei yake anaambiwa 460k [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata alivyonipotea dukani mpka leo skumbukagi nakumbuka tu jioni anantext mzee tusameheane tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3] hutaki ya kushea mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
naam hiyo ndo bleu de chanel, mi nanunuaga 430k, tafuta moja inaitwa Tuxedo ni 250 usd, harufu yake ukipita kila sehemu lazma mtu ageuke
Sent using Jamii Forums mobile app
 
product za NIVEA ni best kwangu,,, sababu sipendi manukato yenye harufu kali kiasi kwamba unapomaliza kuji psiii psiii lazima chafya ikutoke.
Ukitumia ile role dry uka psiii na nivea Body spray fresh (ya blue) aisee i like that!
Ila naona kama wamechakachua ss hv kuna harufu siiielewagi kbs kwenye hy nivea fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…