Hii ndio perfume ninayoikubali kuliko zote

Hii ndio perfume ninayoikubali kuliko zote

tunao tumia boss orange tujuane
nikipataga hela naamiaga hugo boss ile ya 230k maana kuna copy zimetoka siku hz zinauzwa 5k kkoo pale🤣🤣🤣🤣
 
very common, ila kila mtu na taste yake, mi perfume nzuri ni Bleu de Chanel (430,000) na Hugo Boss the scrnt (200,000), nikiwa nimefulia nanunua zangu creed za kupima pale mlimani Albaity perfume

Sent using Jamii Forums mobile app
We mkaka nimekuelewa, naomba uninunulie na mie ya gharama, ninukie mweeeh! Maana umenitamanisha buree kunitia dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yah kwa kweli kuna jamaa akija ofisini kwangu anasema anasikia harufu toka nje anajua nipo
Mkuu Creed naikubali Sana,ila jaribu na Tom Ford hutajuta,ikibidi changanya zote ni balaa
 
jamani nani anajua wapi naweza pata Zara night/ pour Homme II ? kwa hapa dar, nmetafuta kila kona sipati
IMG-20200326-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom