Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Mpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet).
Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at 02:50 PM NY time ni 4.7650 USD.
Hii maana yake ni kuwa thamani ya gesi ni:
4.7650 USD x 1,000,000,000 = 4.765 Billion USD/tcf
57 tcf x 4.765 B/ tcf = 271.6 Billion USD.
Hivyo basi, thamani kuu ya gesi ya Tanzania kwa siku ya leo 16/03/2022 ni Dola za Kimarekani Billion 271.6 tu.
Kwa "pesa ya madafu" ni Tsh Trillion 633/= ambayo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa muda wa miaka 18 kwa viwango vya sasa..
Note:
Nimezungumzia THAMANI na sio FAIDA.
..
.