BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kwanini iwe kimya kimya ? Kwa nini haiwekwi wazi kwa watanzania kuona au kuwekeza wanaotaka kuwekeza?Mikataba inasainiwa kimya kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini iwe kimya kimya ? Kwa nini haiwekwi wazi kwa watanzania kuona au kuwekeza wanaotaka kuwekeza?Mikataba inasainiwa kimya kimya
Na biashara ya korosho na mahindi pia aliuaLaanatulah Magufuli na viongozi wenzake waliua sector ya gas
Yule mzee hivi mnajua kuwa alikufa kwenye msafara ile siku ametoka kutukana pale Mbezi?Na biashara ya korosho na mahindi pia aliua
Ikianza kuvunwa inaisha lini?Mpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet).
Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at 02:50 PM NY time ni 4.7650 USD.
Hii maana yake ni kuwa thamani ya gesi ni:
4.7650 USD x 1,000,000,000 = 4.765 Billion USD/tcf
57 tcf x 4.765 B/ tcf = 271.6 Billion USD.
Hivyo basi, thamani kuu ya gesi ya Tanzania kwa siku ya leo 16/03/2022 ni Dola za Kimarekani Billion 271.6 tu.
Kwa "pesa ya madafu" ni Tsh Trillion 633/= ambayo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa muda wa miaka 18 kwa viwango vya sasa..
Note:
Nimezungumzia THAMANI na sio FAIDA.
..
.
Usiwe na mawazo mgando kiasi hicho former president honorable Dr Jakaya alifanya kwa uwezo wake na jamii inamkubali sana hata mie namkubali haswaa,wengi wetu maisha yetu tumepata chini ya utawala wake na hakuwa na kinyongo na wananchi wake,hayo mapuuza yako peleka kwenu.Kwangu mie mheshimiwa ataendelea kuwa bora sana kulingana na mtindo wa maisha aliotuachia,huna pesa,huna tekinolojia,huna watalaam halafu unabweka bweka tu,kuongoza nchi usidhani ni rahisi kama kuongoza familia yako.Mheshimiwa alifanya na alipoa achia mwingine naye aendeleze pia baada ya yeye kuacha, PUMZIKA MZEE WETU JAKAYA MRISHO KIKWETE KWANI TUNAJIVUNIA KUWA NAWE,KUSEMA KWA BINADAMU NI KAWAIDA HATA KWENYE FAMILIA AMBAYO UNAIPATIA MAHITAJI YAO KWA ASILIMIA ZOTE KUNA WENGINE HAWAKUKUBALI SEMBUSE KWA TAIFA ZIMA.Hapo bado Mkapa na Kikwete hawajachukua percent zao za kuifilisi nchi....kwa kweli tunahitaji katiba mpya ili tunyambue upuuzi wa hawa marais ili tuwafunge kwa kuturudisha nyuma makusudi. Mkapa kafa lakini bado anaweza taifishwa mali zake, JK yu hai....huyu lazima ashughulikiwe.