Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Umepita kidogo utajiri wa Elon MuskMpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet).
Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at 02:50 PM NY time ni 4.7650 USD.
Hii maana yake ni kuwa thamani ya gesi ni:
4.7650 USD x 1,000,000 = 4.765 Billion USD/tcf
57 tcf x 4.765 B/ tcf = 271.6 Billion USD.
Hivyo basi, thamani kuu ya gesi ya Tanzania kwa siku ya leo 16/03/2022 ni Dola za Kimarekani Billion 271.6 tu.
Kwa "pesa ya madafu" ni Tsh Trillion 633/= ambayo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa muda wa miaka 18 kwa viwango vya sasa..
Note:
Nimezungumzia THAMANI na sio FAIDA.
..
.
Kikwete alituingiza mikataba ya kiibwege sanaMpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet).
Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at 02:50 PM NY time ni 4.7650 USD.
Hii maana yake ni kuwa thamani ya gesi ni:
4.7650 USD x 1,000,000 = 4.765 Billion USD/tcf
57 tcf x 4.765 B/ tcf = 271.6 Billion USD.
Hivyo basi, thamani kuu ya gesi ya Tanzania kwa siku ya leo 16/03/2022 ni Dola za Kimarekani Billion 271.6 tu.
Kwa "pesa ya madafu" ni Tsh Trillion 633/= ambayo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa muda wa miaka 18 kwa viwango vya sasa..
Note:
Nimezungumzia THAMANI na sio FAIDA.
..
.
Kumbe ile gesi ya Mtwara yeye alikuwa raisi ee?Laanatulah Magufuli na viongozi wenzake waliua sector ya gas
Barrick kumbe walituibia kuliko hata akiba ya gas tuliyonayo. Wao Barrick si walikuwa wakidaiwa kodi ya USD 300 billion kwa mujibu wa TRA ile ya kizalendo?Mpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet).
Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at 02:50 PM NY time ni 4.7650 USD.
Hii maana yake ni kuwa thamani ya gesi ni:
4.7650 USD x 1,000,000 = 4.765 Billion USD/tcf
57 tcf x 4.765 B/ tcf = 271.6 Billion USD.
Hivyo basi, thamani kuu ya gesi ya Tanzania kwa siku ya leo 16/03/2022 ni Dola za Kimarekani Billion 271.6 tu.
Kwa "pesa ya madafu" ni Tsh Trillion 633/= ambayo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa muda wa miaka 18 kwa viwango vya sasa..
Note:
Nimezungumzia THAMANI na sio FAIDA.
..
.
Hapo bado Mkapa na Kikwete hawajachukua percent zao za kuifilisi nchi....kwa kweli tunahitaji katiba mpya ili tunyambue upuuzi wa hawa marais ili tuwafunge kwa kuturudisha nyuma makusudi. Mkapa kafa lakini bado anaweza taifishwa mali zake, JK yu hai....huyu lazima ashughulikiwe.Mpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet).
Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at 02:50 PM NY time ni 4.7650 USD.
Hii maana yake ni kuwa thamani ya gesi ni:
4.7650 USD x 1,000,000 = 4.765 Billion USD/tcf
57 tcf x 4.765 B/ tcf = 271.6 Billion USD.
Hivyo basi, thamani kuu ya gesi ya Tanzania kwa siku ya leo 16/03/2022 ni Dola za Kimarekani Billion 271.6 tu.
Kwa "pesa ya madafu" ni Tsh Trillion 633/= ambayo ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa muda wa miaka 18 kwa viwango vya sasa..
Note:
Nimezungumzia THAMANI na sio FAIDA.
..
.
Mikataba inasainiwa kimya kimyakwani mkataba wa kuichimba hi gesi upoje wana jf wenzangu.
Fafanua kaka.. Tuelezee kuhusu hiyo mikataba maana wengi hatujui serikali ina share kiasi gani?Kikwete alituingiza mikataba ya kiibwege sana
nan atakupa usome? Ni kama mkataba wa bandari nan aliusomakwani mkataba wa kuichimba hi gesi upoje wana jf wenzangu.
Wewe kwa "upeo" wako unaona nimekosea?Piga hesabu vizuri, hapo umefanya blabla t