Hii ndio pesa ya mauzo ya gesi yote iliyogundulika Tanzania mpaka leo 16/03/2022..

Ikianza kuvunwa inaisha lini?
 
Usiwe na mawazo mgando kiasi hicho former president honorable Dr Jakaya alifanya kwa uwezo wake na jamii inamkubali sana hata mie namkubali haswaa,wengi wetu maisha yetu tumepata chini ya utawala wake na hakuwa na kinyongo na wananchi wake,hayo mapuuza yako peleka kwenu.Kwangu mie mheshimiwa ataendelea kuwa bora sana kulingana na mtindo wa maisha aliotuachia,huna pesa,huna tekinolojia,huna watalaam halafu unabweka bweka tu,kuongoza nchi usidhani ni rahisi kama kuongoza familia yako.Mheshimiwa alifanya na alipoa achia mwingine naye aendeleze pia baada ya yeye kuacha, PUMZIKA MZEE WETU JAKAYA MRISHO KIKWETE KWANI TUNAJIVUNIA KUWA NAWE,KUSEMA KWA BINADAMU NI KAWAIDA HATA KWENYE FAMILIA AMBAYO UNAIPATIA MAHITAJI YAO KWA ASILIMIA ZOTE KUNA WENGINE HAWAKUKUBALI SEMBUSE KWA TAIFA ZIMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…