Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno!
Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu.
Ama kwa hakika Tanzania mpya inanukia.
Mungu Ibariki Tanzania.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app