Hii ndio picha bora ya wiki nchini Tanzania, imepigwa Kigoma

Hii ndio picha bora ya wiki nchini Tanzania, imepigwa Kigoma

Taarifa
Asante kwa taarifa.

Ila ninatamani sana kama chadema kingekuwa na kitengo imara cha habari kutuhabarisha na kutupa nondo za hiyo mikutano.
Molemo where r u?

Kitengo cha Habari Maelezo ya chama changu Chadema kina mapungufu makubwa sana.

Hakina organization inaonekana kina man power kidogo sana.

Yaani Bila Erythrocyte hatuwezi kupata dondoo za mikutano na habari zingine??

Au we Erythrocytr ndio una monopolize hii kazi Takatifu?
 
Mbowe aweke wazi matumizi ya hiyo operation uchwara!! Mbona kipindi cha Jiwe aliufyata??
 
View attachment 2626701

Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno !

Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu .

Ama kwa hakika Tanzania mpya inanukia .
Mungu Ibariki Tanzania .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Jiwe alikuwa ametuharibia saana nchi yetu. Wanasiasa wa upinzani na vyombo vya Usalama walikuwa kama chui na paka.
 
Back
Top Bottom