Hii ndio sababu Diamond kutofanya show DSM mpaka mwaka 2017

Hii ndio sababu Diamond kutofanya show DSM mpaka mwaka 2017

Umri wako umekwenda,bongo fleva sio size yako tena
Hapana ndugu napenda Bongo fleva zile za kiume kama akina Afande Selle, Fid Q na wagumu wengine lkn hizi kelele za kina Ali Kiba, sijui Barnaba na akina Diamond niko mbali nao. Ni sawa na kulinganisha hip hop ya 2pac na wahuni wa leo. 2pac aliondoka na hiphop asilia, nafuatilia sana mziki kaka kwani ni ulevi wangu namba moja ukizigatia situmii kilevi chochote. Napenda live concert lkn nyimbo ziguse maisha yangu sio kelele na kuonyesha sarakasi jukwaani.
 
Yeye mwenyewe (Diamond) anajua fika hakubaliki BONGO....Kwa muziki hupi..muda wote jukwaani anavuta MISURUALI...vijana wake ni SARAKASI mwanzo mpaka mwisho wa shoo...Wabongo wenye akili zao kashindwa kuwavutia...
Huna akili
 
Back
Top Bottom