samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Stpd.Stpd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stpd.Stpd
Shangazi yetu unakosea,huyu msaniii haitwi DOMOMOND, ila anaitwa DIAMOND.Eti Domomond ndo Nani?
Umri wako umekwenda,bongo fleva sio size yako tenaNdiyo sababu nikasema binadamu tunatofautiana sana ndugu, mie hata bure siendi
Hapana ndugu napenda Bongo fleva zile za kiume kama akina Afande Selle, Fid Q na wagumu wengine lkn hizi kelele za kina Ali Kiba, sijui Barnaba na akina Diamond niko mbali nao. Ni sawa na kulinganisha hip hop ya 2pac na wahuni wa leo. 2pac aliondoka na hiphop asilia, nafuatilia sana mziki kaka kwani ni ulevi wangu namba moja ukizigatia situmii kilevi chochote. Napenda live concert lkn nyimbo ziguse maisha yangu sio kelele na kuonyesha sarakasi jukwaani.Umri wako umekwenda,bongo fleva sio size yako tena
Naamini atafanyia kaziHuyu nae atengeneze website sasa.... E mail gmail??? Aibu kwa mtu mzito Kama dimond
December 3rdHiyo tarehe ya Congo sijailewa.
NaamSio watanzania tu waafrica wanampenda diamond na mziki wake anamashabiki kila nchi , baada ya miaka 5 kumpata afanye show hapa Tanzania itabidi utoe pesa ndefu sana
Huna akiliYeye mwenyewe (Diamond) anajua fika hakubaliki BONGO....Kwa muziki hupi..muda wote jukwaani anavuta MISURUALI...vijana wake ni SARAKASI mwanzo mpaka mwisho wa shoo...Wabongo wenye akili zao kashindwa kuwavutia...
Hujaulizwahata kuimba live hajui bora angekuwa bella ningeenda