Tetesi: Hii ndio sababu halisi iliyowafanya Clouds Media Group waahirishe tamasha la Tigo Fiesta

Arusha si ndio wamejaa kina Juru wa kushato niaje! Fiesta imejaza sababu kina Mchomvu na B12 ni watoto wa uko na fekeche za akina Papaa mafido ila Chuga inae ma mbulula tu kama ilivyo wasukuma wa Mwanza!
we ni mpuuzi unapaswa kupuuzwa...........


kwaio wazaramo waliopo dar ndio wajanja?
 
kibali walipewa, ila kimefutwa tena na mamlaka ile ile iloyotoa kibali........


muwe mnasoma mkaelewa usiwe km bashite
Nyie akina Da Mange kasema wala hamnisumbui kwani mnatembea na viwili wili, kichwa umemuachia mange, mimi sio mpuuzi kama huyo mpuuzi mange, natumia reasoning capacity yangu kuandika ninachokiamini na nipo sure 100%.
 
Ungetumia lugha ya kabila lako ingekuwa bora zaidi
 
we ni mpuuzi unapaswa kupuuzwa...........


kwaio wazaramo waliopo dar ndio wajanja?
Tuliza wenge wewe BONGO kuna Exposure hapa, hao mandezi wote kutoka mwanza na chuga wanakuja kujifunzia ujanja town! We unafikiri uelewa wa Dogo janja na wewe uliopo mkoani ni sawa sahivi?
 
Kwahiyo hapa unataka kusema nn mbona kama hueleweki?? Uzoefu na kibali vina uhusiano gani?? Tamasha la Mtwara liwe na effect kwa tamasha la dar katika mahudhurio au unataka kusema show ya weusi tanga iwe na effect katika show ya Rostam kigoma?? Are you sane..?? Nyakati nyingine tunajidharilisha sana kwa hizi cheap arguments.. Mtu wa degree hawezi andika ujinga huu... Maelezo yametoka kuwa wahamishie pale tanganyika packers na hata mwaja jana kidogo lisitishwe ishu kama hii ya vibali...
Lazima sasa kama vijana tuchambue kwa weledi hizi mada ambazo kidoko huja na mihemko.. mm kwa ss nko mtwara hapa na sioni effect ya hii wasafi kwa fiesta labda kama zingefanyika huku ktika wilaya tofauti..
Huwa siwapendi clouds ila penye ukweli tuweke mambo wazi..
 
malipo no duniani na sio kwingne inabidi tujifunze biashara ibaki biashara na bifu libaki bifu kutopiga nyimbo za msanii kwa kuwa una ugomvi nae sio vizuri in kuwanyima haki mm nimependa kilichotokea , sasa no muda wa mabadiliko kwa wasanii muliteswa sana , mgeni mfano huu bifu LA kiba na mond halizuii wasafi FM au TV kupiga nyimbo nyimbo za kiba , mm nimependa sana hili
 

Duh kazi kweli kweli aliyekuambia kuwa wamekosa kibali Nani??? Tamasha lilikuwa na kibali halali kabisa ila kwa bangi za w
Viongozi was Sasa wakurupukaji wakakifuta kibali one day before.
 
Tukisema tuweke degree hapa mezani, utajiona fala, pili katika maisha yangu ya kusoma sijawahi kufeli kutokea msingi mpaka chuo. Tuendelee kwanza nchi hii ni ya demokrasia, kila mtu yupo free kuongea anachokiamini, sawa I have high reasoning capacity kuliko unavyofikiri, hamna kitu kama hicho project imefeli, we endelea kuamini umachokiamini ww, hufikii hata nusu ya level ya elimu niliyokuwa nayo, mimi sijasoma shule zenu za kata kwa kuwa na heshima, hizi avatar tunazozitumia zisikudanganye, inawezekana ukawa unajishaua humu kumbe ume differentiate constant (I think you know derivative of constant).
 
Mpaka SAA nane (8) mchana Leo tarehe 24-11-2018 nimeenda kukata ticket yangu inasoma ni MTU wa 1469 katika kituo kimoja cha Mtwara municipal bus stand cjui kwingine huko
 
Duh kazi kweli kweli aliyekuambia kuwa wamekosa kibali Nani??? Tamasha lilikuwa na kibali halali kabisa ila kwa bangi za w
Viongozi was Sasa wakurupukaji wakakifuta kibali one day before.
We endelea kuamini hivyo hivyo, acha mimi niamini hivi.
 
Mkuu acha kutuletea stori za central police hapa, Luge ndio nani? Au hii taarifa umeileta kama ulivyopewa?
 
Bora iwe hvi ili wasanii weng wapate air time maana kupitia clouds kuna wasanii walipigwa chini na hawakusikika yaan music ilikua chin ya kund la watu wachache ..hingera wcb kwa hii revolution heshima ya mziki itarud na wasanii waliopoteza matumaini watainuka tena badala ya kuwa mateja mitaan
 
Kuhairisha=Kuahirisha,daah! Umenipa taabu kukuelewa, nimesoma tittle triple times
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu huna lolote usingekuwa unaandika upupu hapa... we mbweha tu hujui hili wala lile... Aliyeelimika hawezi kuwa kama ww..
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu huna lolote usingekuwa unaandika upupu hapa... we mbweha tu hujui hili wala lile... Aliyeelimika hawezi kuwa kama ww..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…