Tetesi: Hii ndio sababu halisi iliyowafanya Clouds Media Group waahirishe tamasha la Tigo Fiesta

Embu tufike mahali tuache mambo yakishabiki tujikite katika ukweli tunashindwa kufanya mambo muhim ya kusogeza taifa mbele tuna baki kukumbatia ushabikitu, tubadilike wandugu tutumie akili japo hata . 1
 
akili za kimaskini hizi.
 
Kweli upuuzi hauna ujazo

We Dada Una mambo
 
Wewe jana kule kwenu watu walikua wanazubaa

Wameweza Arusha
Mwanza
Tanga
Dodoma
Singida
Washindwe Dar?
Kuna uwezekano mkubwa wangepata zaidi ya uwezo wa Uwanja wa Taifa

Wanufaika wengi wameumizwa ikiwemo uber, taxify etc
 
Hahahahahaaaa yule dogo wa tandale labda kapulizia🤣[emoji449]
 
NA WAKATI KIBALI KINATOLEWA WATOA KIBALI HAWAKUJUA KWAMBA WAKATI WA TUKIO KELELE ZITAKUAPO NA KUHATARISHA AFYA ZA WAGONGWA WA MOYO KATIKA HOSPITALI ZA KARIBU MPAKA WAONE BAADAE SIKU MOJA KABLA YA TUKIO??
 
We mwenyewe unaandika huku ukijua unaandika upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…