Tetesi: Hii ndio sababu halisi iliyowafanya Clouds Media Group waahirishe tamasha la Tigo Fiesta

Tetesi: Hii ndio sababu halisi iliyowafanya Clouds Media Group waahirishe tamasha la Tigo Fiesta

Basis ni kwamba wewe una akili ya kimasikini.
U have surprised me mkuu naona umeshindwa kurelate kati ya nilicho kiandika na hayo unayo yaita mawazo ya kimasikini. Labda nikuilize tu mawazo ya kimasikini ni nini?
 
U have surprised mkuu naona umeshindwa kurelate kati ya nilicho kiandika na hayo unayo yaita mawazo ya kimasikini. Labda nikuilize tu mawazo ya kimasikini ni nini?
mawazo ya kimasikini ni hayo mawazo uliyokuwa nayo wewe.
 
Swala la kibali mimi nakataa,tamasha kubwa akama lile,lina watu wenye uzoefu miaka zaidi ya 15,lina watu professional,lina kamati maalumu ya maandalizi,vile vile lina simamiwa na kamapuni kubwa ya promotion,Prime Times Promotion.Alafu eti leo uniambie wameahailisha sababu hawana kibali ni uwongo.

Yaani utake risk kubwa ya kuandaa jukwaa,kufungwa mziki alafu uniambie eti hawana kibali ,hii ni CHAI.Sisi kipindi kile tunaanda vi party vyetu vya macamp,kitu cha kwanza tunatafuta vibali kabala ya kufungwa vijukwaa vyetu na mziki,sasa ww una take big risk ya kuspend high amount of money kufunga majukwaa na mziki,alafu uniambie eti siku za mwisho kibali kimezuiwa UWONGO.

Ikiwa sisi watu wa uswahili hatuna elimu ya kutisha lkn tuna jua hii Protocol,sembuse wao wanye watu wenye Proffesional zao + plus uzoefu wa kuaandaa matamasha kwa miaka zaidi ya kumi na tano

Mauzo ya ticket yame feli huo ndio ukweli wenyewe.

kibali hawakunyimwa bali walipewa tena cha hapo hapo leders kilichotokea ni wameamishwa kutoka leders kwenda tanganyika pekers, so kibali cha leders kilikuwepo!!! Kilichotokea ni kubadili venue!! Tena masaa 17 kabla ya tukio!!

Ivi mnajua set up ya sound kwenye matamasha makubwa?? Set up ya sound sio kitu cha kufanya nusu saa, sio birthday party ille wapendwa hao watu walisha set sound yao, walisha set stage yao na dhani labda hamkuiona ndio maana mnasema either kwa kutokujua maswala ya music production and enginering, kile sio kitu cha nusu saa kwamba unafumua unakwenda kufunga sehemu nyingine!!!

Ndio manaaa huwa wanaandaa two days before the event!!! Inategemea na ukubwa wa stage and sound unayo funga!!! Na kupeni kazi tafteni sound waliyokuwa wamefunga juzi clouds pale leders muone!!! Au fuatilia event zote za jana 24/11 wote wameset sound zao na stage aither one day before the event iwe mtwara kahama au dar penyewe!!

Lakini pia naamini The issue sio tickets uwezi jaza mwanza, moro, singida, arusha, moshi eti dar ndio ufeli, lakini pia show ya wasafi iko mtwara hii iko dar, na hata kama umeangalia jana iyo show ya wasafi pia turn up ilikuwa ya wastan ukiachana na maswala ya angle za kamera!!!!

Ishu nikuwa mwaka jana tayari mkuu wa mkoa alisha sema matamasha ya miziki mikubwa yasifanyike tena leaders, akasema yaende taifa au sehemu nyingine lakini sio leders!!

clouds walipata back up dakika za mwisho, na kuna matamasha mengi yalikuwa yafanyike leders mwaka jana na huu baada ya kauli ya RC lakini walikuwa wananyimwa vibali,

Namakonda alishasema awezi tengua kauli yake ya kuzuia matamasha leders

Hatujui clouds walifanyaje kupewa kibali, either ni trik ya makonda kama mission ya kuwalipizia Kwa walicho mfanyia au la!!!!

So hoja ya tickests kwangu ni spining inayoanzishwa kaendeleza propaganda za kuiua clouds, ila naamini wenye hasara kubwa ni wasanii wenyewe!!!

Maana naamini, kupungua kwa matamasha ninjaa kwa hao hao wasanii!!!
 
Kwa hiyo walipata kibali bila kufuata utaratibu?, Fiesta ijafutwa ila liliofutwa ni tamasha la dar, Msanii hawezi kufa njaa kisa kufa kwa Fiesta, kwani Kuna wasanii kibao wana piga show zao binafsi na wanaishi. Kwa hiyo sababu umejaza Mwanza na Dar ndio utajaza? Mbona Moro walichemka (Mdogo wangu dereva alikuwepo hapo).

Pili sister lile tamasha lina dhaminiwa na Tigo ambao, wana watu wa Risk management na hawawezi wakatoa hela bila kupata kibali ili hela yao isipotee, walitoa hela wakiwa na uhakika show itafanyika na kama kusingekuwa na hizo figisu tigo wasingetoa hela.

Najua mnamuingiza makonda lkn kufeli mmefeli wenyewe, hii ni Dar huwezi kuwa na list kama ile ya wasanii kama wale ukajaza, Dar kila mtu mjanja so usilinganishe Dar na mikoa mengine.

Hizo ni siasa ila kwangu mimi siamini na sitokuja kuamini hata uchukue mdomo wa kifaru uweke kichwani kwangu, jibu ni lile lile mbona mwaka jana pamoja kuwa na ugomvi na makonda wamefanya, ila mwaka huu wamemaliza ugomvi wao ndio wasifanye au NDIO DA MANGE KASEMA nabii wenu wa instagram.

Fiesta imefeli ila hawawezi kukubali sababu ni brand kubwa, hata ningekuwa mm nisingekubali, ku-admit nimefeli, hiyo inabaki kuwa siri ya kampuni.
 
.nimeishia hapo kwenye KUHAILISHA na MALAKUMI..kuendelea kusoma ni kutokujitendea haki
 
Mbona kwenye tangazo lao la kuomba radhi wamesema walikua wajumuike na maelfa ya watanzania?
Mbona katika hilo hilo tangazo ile meza jamaa anayitumia kusomea amepambwa na kitambaa CHEUSI?
Mbona pia katika hilohilo tangazo sura zao zinaonyesha majonzi inwawaje hawatoi machozi?
 
Back
Top Bottom