Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 551
- 895
hiyo movie naijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majanki mliojiunga JF hivi visiku vya karibu mnazingua sana. Kwa hiyo wewe ndio huyo demu wa mshikaji?hiyo movie naijua
[emoji3][emoji3]Namsingizia sababu simpendi
Uzi ufungwe hapaHapo alienda kwa mganga fake , mganga og usingetuma hii massage hapa. Inshort hakufanikiwa kukuteka
Ni mtego huo, nakushauri hata wewe usivaeKwahiyo blaze hauvai kabisa nguo ya ndani[emoji28][emoji28]
Hata mimi niko kanunu fijo. Muziki mzitoHapo alienda kwa mganga fake , mganga og usingetuma hii massage hapa. Inshort hakufanikiwa kukuteka
Ukiwa umevaa t-shirt au shati fupi ukiinama tu mhundu unakaa wazi wazi😂😂😂😂.Maisha ni fumbo kubwa lililojaa somo kubwa iwapo tu utasimama thabiti na ukiwa na msimamo chanya na kuwa mtu unayependa kujifunza kupitia na magumu unayoyapitia.
Nilipoingia kwenye biashara na kuanza kushika vijihela ambavyo nilikuwa sijawahi kuvishika kabla, basi na tabia mpya zikaanza. Wanawake, Pombe na nyama choma ndio yakawa maisha yangu.
Mwalimu wangu wa biashara (Mentor/ Guru) akawa ananikaripia na kunigombeza sana kutokana na tabia zangu hizi mpya. Akaniambia hizi ni tabia zinazofungua mlango wa kuniingiza kwenye ufukara.
Wakati nakatazwa niachane na tabia zangu mbaya performance ya biashara nayo ikashuka, usiku nikawa kama popo, nahangaika kwenye makumbi ya starehe na wanawake.
Nikaja kupata msichana ambaye nikahisi ndiye atakayekuja kuwa mke wangu. Akawa free kuja kwangu muda atakao na mimi nikawa free kwenda kwake, tulikuwa tumebadilishana funguo.
Sasa ikatokea siku moja nimekula supu Break Point ya Makumbusho zamani zile, nikashusha na bapa kubwa la Konyagi. Nikazima simu nikaona sehemu salama ya mimi kujificha bila kusumbuliwa na Guru ni kwenda nyumbani kwa demu wangu.
Kule nikapata muda mzuri sana wa kulala, pombe ziliponiisha, mida ya saa 11 jioni, nikaingia bafuni kuoga. Baada ya kuoga nikavaa fresh, bahati mbaya nikadondoshea ufunguo wa gari pembeni ya kitanda.
Nilipovuta kitanda ili niifikie funguo kwa urahisi nikakutana na mfuko wa nylon ile iliyopigwa marufuku. Nikaingiwa na roho ya udadisi nikasema niufungue. Mle ndani nikakuta kuna boxer zangu 2 na vest moja, karatasi imeandika majina yangu matatatu, na majina yote ya mama yangu na tarehe yangu ya kuzaliwa.
Kulikuwa na mayai viza yameandikwa kwa kiarabu kwa wino mwekundu. Pia kulikuwa na kafatasi ina michoro michoro na maandishi ya kiarabu.
Kulikuwa na hirizi mbili, moja kubwa nyekundu na nyingine ndogo nyeusi. Nikakibeba kifuko kile, nikakipiga picha na kumtumia mamsapu kwa WhatsApp.
Tangu siku hiyo sivai kabisa nguo za ndani.
Poa tu. Kuna kitu kinaitwa determination/ enlightenment. Ukiwa na ufahamu huo unaanza kuona mambo tofauti na wengine waonavyo.Ukiwa umevaa t-shirt au shati fupi ukiinama tu mhundu unakaa wazi wazi😂😂😂😂.
Ukitembea kengele zibebana na kuparangana kwachu kwachu kwachu 😂😂😂😂
Ooh sawa.Poa tu. Kuna kitu kinaitwa determination/ enlightenment. Ukiwa na ufahamu huo unaanza kuona mambo tofauti na wengine waonavyo.
Macho yako ya ndani yameishia kuona mapumbu yangu yakichezacheza. Macho yangu ya ndani yamenionyesha ni kwa jinsi gani nguo za ndani ni lango la uharibifu. Nina ndoto kubwa sana kwa hili taifa, nina mengi makubwa ya kulifanyia.Ooh sawa.
Aaah baba weeeh, mm navaa[emoji28][emoji28]Ni mtego huo, nakushauri hata wewe usivae
[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji23][emoji23]Maisha ni fumbo kubwa lililojaa somo kubwa iwapo tu utasimama thabiti na ukiwa na msimamo chanya na kuwa mtu unayependa kujifunza kupitia na magumu unayoyapitia.
Nilipoingia kwenye biashara na kuanza kushika vijihela ambavyo nilikuwa sijawahi kuvishika kabla, basi na tabia mpya zikaanza. Wanawake, Pombe na nyama choma ndio yakawa maisha yangu.
Mwalimu wangu wa biashara (Mentor/ Guru) akawa ananikaripia na kunigombeza sana kutokana na tabia zangu hizi mpya. Akaniambia hizi ni tabia zinazofungua mlango wa kuniingiza kwenye ufukara.
Wakati nakatazwa niachane na tabia zangu mbaya performance ya biashara nayo ikashuka, usiku nikawa kama popo, nahangaika kwenye makumbi ya starehe na wanawake.
Nikaja kupata msichana ambaye nikahisi ndiye atakayekuja kuwa mke wangu. Akawa free kuja kwangu muda atakao na mimi nikawa free kwenda kwake, tulikuwa tumebadilishana funguo.
Sasa ikatokea siku moja nimekula supu Break Point ya Makumbusho zamani zile, nikashusha na bapa kubwa la Konyagi. Nikazima simu nikaona sehemu salama ya mimi kujificha bila kusumbuliwa na Guru ni kwenda nyumbani kwa demu wangu.
Kule nikapata muda mzuri sana wa kulala, pombe ziliponiisha, mida ya saa 11 jioni, nikaingia bafuni kuoga. Baada ya kuoga nikavaa fresh, bahati mbaya nikadondoshea ufunguo wa gari pembeni ya kitanda.
Nilipovuta kitanda ili niifikie funguo kwa urahisi nikakutana na mfuko wa nylon ile iliyopigwa marufuku. Nikaingiwa na roho ya udadisi nikasema niufungue. Mle ndani nikakuta kuna boxer zangu 2 na vest moja, karatasi imeandika majina yangu matatatu, na majina yote ya mama yangu na tarehe yangu ya kuzaliwa.
Kulikuwa na mayai viza yameandikwa kwa kiarabu kwa wino mwekundu. Pia kulikuwa na kafatasi ina michoro michoro na maandishi ya kiarabu.
Kulikuwa na hirizi mbili, moja kubwa nyekundu na nyingine ndogo nyeusi. Nikakibeba kifuko kile, nikakipiga picha na kumtumia mamsapu kwa WhatsApp.
Tangu siku hiyo sivai kabisa nguo za ndani.
Wengine tunatafuta hata wa kuturoga hatuwaoni ,huyu jamaa ana bahati sanaWana tunarogwa sana
Usiombe yakukute[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
For what reason.? Jukwaa hili ni la ku share experience na kubadilishana ujuzi na mbinu mbalimbali za maisha, hujui tu, ni kiasi gani watu wengi wameharibiwa maisha yao kupitia kuibiwa nguo zao za ndani.Attention seeker
Daima huwa nawasisitiza watu, kunywa kidogo ukiwa bar na marafiki, kisha beba za kwenda kujidungia home. Hamna sehemu salama kwa mnywaji kama home.Aaah baba weeeh, mm navaa[emoji28][emoji28]
Na haya mambo ya upinde yalivyoenea nianguke ghafla wakute ni nyama kwa nyama[emoji28]
Si watasambaza ubaya aisee[emoji28]