Hii ndio sababu iliyonifanya niache kuvaa nguo za ndani (vest na boxer)

Ukiwa umevaa t-shirt au shati fupi ukiinama tu mhundu unakaa wazi wazi😂😂😂😂.
Ukitembea kengele zibebana na kuparangana kwachu kwachu kwachu 😂😂😂😂
 
[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Attention seeker
For what reason.? Jukwaa hili ni la ku share experience na kubadilishana ujuzi na mbinu mbalimbali za maisha, hujui tu, ni kiasi gani watu wengi wameharibiwa maisha yao kupitia kuibiwa nguo zao za ndani.

Wewe ni kijana mdogo, ila nakuhakikishia kuna siku utatamani uusome uzi huu kwa mara ya pili
Aaah baba weeeh, mm navaa[emoji28][emoji28]

Na haya mambo ya upinde yalivyoenea nianguke ghafla wakute ni nyama kwa nyama[emoji28]

Si watasambaza ubaya aisee[emoji28]
Daima huwa nawasisitiza watu, kunywa kidogo ukiwa bar na marafiki, kisha beba za kwenda kujidungia home. Hamna sehemu salama kwa mnywaji kama home.

Kunywea home kutasitiri aibu zako zote, na hamna atakaye kufanyia michezo michafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…