Charlez kanumba
Senior Member
- Nov 2, 2024
- 187
- 501
..MARIOO ni msanii ambaye anatoa hits nyingi sana ambazo zinafanya vizuri kila kona ya mtaa, na endapo DIAMOND akimwachia upenyo MARIOO wa kuendelea kusikika mtaani basi lazima atachukua nafasi yake, hivyo diamond ameshamshtukia MARIOO ni msanii anaye kubalika sana na ni rahisi kurithi kiti chake.
Mfano MARIOO alitoa wimbo wa matata, diamond nae akaja na wimbo wa "komasava", sasa hivi tena MARIOO ametoa album inayoitwa "The Godson", Diamond hajataka kumwachia upenyo, chapu na haraka akaungana na bibie ZUCHU wakarekodi wimbo unaoenda kwa kina la "WALE WALE".
Lengo likiwa ni kuondoa attention ya mashabiki kufuatilia album ya MARIOO badala yake wamfatilie yeye na bibie ZUCHU.,