Hii ndio Sababu kwanini Mungu aliagiza wachawi wauawe

Hii ndio Sababu kwanini Mungu aliagiza wachawi wauawe

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kutoka 22:18 inasema " Thou shall not suffer a witch to live" a Swahili for " Usimuache mchawi aishi".

Je, ni kwanini Mwenyezi Mungu alitoa hiyo decree? Kabla sijatoa majibu yangu kuhusu swali hili Wacha nitoe maoni yangu kwanini Mungu aliwakataza kabisa binadamu kujihusisha Na uchawi.

Ipo Sababu Moja kuu kwanini Mungu hataki binadamu wajihusishe Na uchawi. Nayo Ni " UCHAWI UNAUA NGUVU NA UWEZO WA AKILI YA MTU ANAE UTUMAINIA"

Ni hivi , Kwa jinsi Mwenyezi Mungu alivyo I design akili ya MWANADAMU,akili ya MWANADAMU inaweza kufanya mambo makubwa Sana ambayo uchawi hauwezi kufanya hata robo yake.

But hili Jambo hili liwezekane Ni lazima MWANADAMU aitumie akili yake Kwa marefu Na mapana yake.. Mahali pekee ambapo akili ya MWANADAMU inaweza kukua au nguvu ya akili ya MWANADAMU inaweza Ku manifest Ni pale anapo kutana Na changamoto mbalimbali.

Kadri MWANADAMU anavyo solve changamoto Moto hizo ndivyo akili yake inavyozidi kupanuka.

Sasa basi uchawi unamzuia MWANADAMU ashindwe kutumia akili yake vizuri.

Badala ya kusolve matatizo Yake Kwa kutumia akili yake yeye ana solve matatizo yake Kwa kutumia uchawi ama Kwa kutumia akili ya viumbe wengine " majini" ambao ndio waalimu WA uchawi matokeo yake akili ya mwanadamu inashindwa ku advance.

Kuna Nadharia Fulani inasema kwamba hapo Zamani binadamu tulikuwa katika familia kubwa ya manyani iliyo Julikana kama AUSTRALOPITHESNES huku ancestor wetu akiwa ZINJATHROPUS.

At first wote tulikuwa katika same level of development, kilicho tufanya wanadamu Tu advance kiteknolojia na kuwapita manyani Ni kutumia akili zetu vizuri.

Binadamu tulikuwa tukikutana Na changamoto tulikuwa hatuzikimbii Bali tulikuwa tuna Zi solve mfano " kunyeshewa mvua" tuliumiza akili mpaka tukavumbua nyumba lakini masokwe wao walikuwa wakikutana Na changamoto kama HII wanakimbilia kwenye msitu mzito Zaidi kujificha kwenye miti mikubwa huku ancestor wetu akipambana kutafuta suluhisho la kudumu la changamoto hiyo.

Mwisho WA siku binadamu tukawapiga masokwe gape kubwa Sana la kiteknolojia.

Mfano Huu upo applicable pia Kati ya gape la kiteknolojia na kimaendeleo Kati ya wazungu Na waafrika.

Baadhi ya races ZA majini wenye wivu waliona jinsi binadamu tulivyo kuwa tuna advance kiteknolojia Kwa Kasi ya ajabu so Waka conspire wakaja kutufundisha uchawi ili Ku corrupt mind zetu Kwa kuutumia uchawi kama replacement ya uwezo wetu WA kufikiri kwamba pale tunapo kutana Na changamoto badala ya kutumia akili kutatua sie tukawa tunatumia uchawi ambao is nothing but teknolojia ya majini Na katika kuhakikisha mind zetu zinakuwa corrupted indeed majini Hao wakawa active Sana kwenye uchawi kiasi cha kuwafanya mamilioni ya binadamu kuacha kufikiria Na kuhamia kwenye uchawi.

Mungu aliona hatari hii Na kutuma ujumbe duniani kwamba uchawi lazima uharamishwe Na kupigwa marufuku ili Ku prevent further damage kwenye thinking capacity ya binadamu.

Wote mmesoma Historia Na mnajua wachawi walikuwa wanafanywa Nini kuanzia Enzi za Mussa, Mtume Muhammad Na very recently Enzi za kati huko barani Ulaya.

Back to my thread: kwanini Mungu ali toa Amri wachawi wote wauwawe?

KWA SABABU MCHAWI NI KIUMBE MWENYE UWEZO MDOGO SANA KUFIKIRI .S/HE DOESNT DESERVE THE NAME " HUMAN". MCHAWI NI KAMA VIRUS KWENYE KOMPYUTA. USIPO MTOA VIRUS MMOJA KWENYE KOMPYUTA ATA CORRUPT KOMPYUTA NZIMA NA MWISHO WA SIKU KOMPYUTA ITA HARIBIKA. UKIMUACHA MCHAWI AISHI ATA CORRUPT JAMII INAYO MZUNGUMKA NA KUWAFANYA NAO KUWA NA AKILI NDOGO KAMA YA KWAKE NA MWISHO WA SIKU THE ENTIRE HUMAN RACE WILL BE CHAINED INTO BACKWARDNESS AND ABJECT POVERTY FOR THE PUNISHMENT OF WITCHCRAFT IS POVERTY.

Hivi ushajiuliza kwanini mchawi anakuroga Kwa Sababu umepata Kazi nzuri? Au kwanini mchawi ana kuroga Kwa Sababu biashara yako inatoka Sana? Ni Kwa Sababu akili yake Ni ndogo Sana Na fikra zake Ni dhaifu kupita maelezo.

Yani ANACHO ogopa hapo Ni kukuona ukiwa unakula vizuri unapendeza una furaha Na familia yako n.k. Mtu WA hivi wewe una muona akili zake zipo Sawa Sawa Kweli? Mtu mwenye mawazo kama haya Ni chukizo Kwa Mungu Kwa Sababu hajaumba binadamu mwenye Moyo dhaifu kiasi hiki. " MUNGU AMETUUMBA SI KWA ROHO YA UOGA BALI ROHO YA UJASIRI".

Na vitu dhaifu havifai mbele za Mungu Wala haviwezi kuingia mbinguni Kwa mujibu WA mabandiko.

Na wewe unae soma Uzi Huu if ur heart is struggling to handle the success of ur friend, neighbour or etc then u have to be sure that wewe pia una roho ya KICHAWI ndani yako. Na Kwa mujibu wa decree ya Mungu, wewe pia hustahili kuishi duniani. Unatakiwa uondolewe duniani ili udhaifu uliopo Kati ka akili yako ufe pamoja Na wewe Kwa maana ukiachwa utazaa watoto ambao NAO watarithi roho yako.
 
Yeye mungu alishindwa nini kumuua shetani. Maana biblia inasema shetani ndio chanzo cha maovu yote, sasa unauaje matokeo ya uovu halafu chanzo ama source unaiacha, si utaua kila siku?

Dini ni mambo ya kitapeli, ni utapeli mtupu. Mungu wala shetani hawapo.
 
Yeye mungu alishindwa nini kumuua shetani. Maana biblia inasema shetani ndio chanzo cha maovu yote, sasa unauaje matokeo ya uovu halafu chanzo ama source unaiacha, si utaua kila siku?

Dini ni mambo ya kitapeli, ni utapeli mtupu. Mungu wala shetani hawapo.
[emoji15][emoji15]
 
Ila aliyeleta uchawi huku Africa alitukomesha

Majamaa hawana dogo kila kitu kwao ni kikubwa hebu fikiria eti wanafikia hatua ya mpaka kumuonea wivu zygote
Miaka ya 90 Kuna jamaa alitoka Babati akaja kuishi kitaa Fulani jijini Darusalama ambacho asilimia tisini Ni wenyeji WA kusini mwa Tanzania. Jamaa alikuwa mfanyakazi WA Serikali so alipangiwa mjini Daslamu. Kwao aliambiwa Bwana ukifika Pwanj hakikisha una heshimu wazee ili uwe Salama usije kurogwa bure.

Jamaa wosia ulimkaa kichwani Kweli Kweli alipo fika kwenye hicho Kitaa akawa anajipendekeza Sana Kwa wazee Na Kweli wazee walimpenda kama Mtoto wao.

Sasa alicho kosea jamaa Ni pale alipo Anza kuleta story za kwamba amenunua kiwanja Na kwamba ameanza kufyatua matofali.

Wale wazee wakasema usitutanie Mtoto mdogo. Basi una aambiwa wakamtupia uchawi jamaa akawa MTU WA wanawake Na pombe kuhonga Sana . Jamaa alikuwa mlevi mpaka akawa anazingua kazini mwisho WA siku akapigwa chini kazini huku nyumba IPO kwenye lenta . Jamaa akagoma kwenda kwao ( nahisi walimfunga asiende kwao) Ile nyumba yake ambayo bado haijakamilika akaiuza Hela aliyo pata ikawa pombe Na mademu kama kawa .

Mwisho WA siku Pesa ikakata akaanza kunywa gongo siku akipata bia . Wahuni wakamwambia anatumia hela nyingi bure kununua pombe avute bangi Bei rahisi halafu akivuta bangi atasahau shida zake zote. Jamaa akaingia kwenye bangi Na Kweli frustration zikaisha kabisa akawa Na furaha kama Zamani as if nothing has happened to him.

WALE WAZEE WAKAWEKA KIKAO WAKASEMA NO WAY , WALIMROGA AFILISIKE ILI AUONE UCHUNGU NA FEDHEHA YA KUWA FUKARA KAMA WAO NA WATOTO WAO SO WAKAMROGA TENA SAFARI HII WAKAROGA WAKINUIZIA KWENYE BANGI ATAKAYO IVUTA, JAMAA AKAWA AKIVUTA BANGI HAPATI STIMU... FRUSTRATION ZIKARUDI UPYA
 
Awepo asiwepo yeye hawezi kujikana mwenyewe. Ni juu yako kuamini au kutokuamini lakini ninakuakikishia pasipo shaka kwamba Mungu yupo na ukimtafuta utamwona na atakusaidia. Shetani naye ni hakika yupo na maovu yote anayatenda yeye lakni kama tukimkimbilia Mungu shetani hana uwezo kwa watoto wa Mungu. Mungu ni Mungu na hatuwezi kufahamu yote maana alishasema yaliyosirini ni yake.

Wewe umtafute tu kwa kumwamini. Soma biblia na uamini yaliyoandikwa. Hilo ndilo neno la Mungu wa kweli na amejidhihirisha kwetu kwa kupitia mwanaye Yesu Kristo. Mimi kusema kweli baada ya kumtambua na kumjua mwanaye Yesu Kristo na kumpokea kuwa mwokozi wa maisha yangu sijawhi kujuta. Aliyabadilisha maisha yangu na amebariki. Mungu ni mzuri mtu asikuambie.

Ukiwa na shida ukimwomba atakusikia na kukupa haja zako. Mtafute Mungu ndugu yangu ndiyo lilobaki katika maisha haya ambayo yanaelea angani. Si kwa maskini wala tajiri mwenye matumaini kwa sasa maana hakuna ajuaye kesho. .

Corona ilikuja juzi hapa na uliona watu walivyoangaika. Zaidi mpe Yesu maisha yako na umpokee awe mwokozi wa maisha yako.

Tafuta mtumishi wa Mungu atakusaidia zaidi ili uweze kujua ukweli. Mwisho ni hakika Mungu yupo.
 
Suffer kwa kiswahili ni nini? Na kwenye tafsiri ni ipi hapo?
Google

Screenshot_20211114-173321.png
 
Awepo asiwepo yeye hawezi kujikana mwenyewe. Ni juu yako kuamini au kutokuamini lakini ninakuakikishia pasipo shaka kwamba Mungu yupo na ukimtafuta utamwona na atakusaidia. Shetani naye ni hakika yupo na maovu yote anayatenda yeye lakni kama tukimkimbilia Mungu shetani hana
A very big Amen
 
Back
Top Bottom