Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ccm ni uchawi, miaka 60 BADO hutubadilikiKutoka 22:18 inasema " Thou shall not suffer a witch to live" a Swahili for " Usimuache mchawi aishi".
Je ni kwanini Mwenyezi Mungu alitoa hiyo decree? Kabla sijatoa majibu yangu kuhusu swali hili Wacha nitoe maoni yangu kwanini Mungu aliwakataza kabisa binadamu kujihusisha Na uchawi.
>Mungu aliweka sheria kwa lengo la kuwaondosha nyakati hizo (KUTOKA 22:18; MAMBO YA WALAWI 20:27) na akaeleza jinsi watu wake wasivyopaswa KULOGA au kufanya ushirikina wa MASHETANI maana hayo ni MACHUKIZO KWA BWANA (MAMBO YA WALAWI 19:26)
Duh hatari hii duniaMiaka ya 90 Kuna jamaa alitoka Babati akaja kuishi kitaa Fulani jijini Darusalama ambacho asilimia tisini Ni wenyeji WA kusini mwa Tanzania. Jamaa alikuwa mfanyakazi WA Serikali so alipangiwa mjini Daslamu. Kwao aliambiwa Bwana ukifika Pwanj hakikisha una heshimu wazee ili uwe Salama usije kurogwa bure.
Yes uchawi upo lakini Mungu aliukataza. Huyo mchawi Simon baada ya kukutana Na nguvu ya Mungu ali Choma tunguli zake√√•Hata nyakati za kanisa la kwanza uchawi uliendelea kuwepo. Kulikuwepo mchawi aliyeitwa Simon, aliyekuwa akifanya uchawi katika taifa la Wasamaria (MATENDO 8:9-11). Mchawi mwingine anayetajwa ni Bar- Yesu au Elima(MATENDO13:6-8)...
AiseeYeye mungu alishindwa nini kumuua shetani. Maana biblia inasema shetani ndio chanzo cha maovu yote, sasa unauaje matokeo ya uovu halafu chanzo ama source unaiacha, si utaua kila siku?
Dini ni mambo ya kitapeli, ni utapeli mtupu. Mungu wala shetani hawapo.
Matusi si kwamba wengine wanashindwa kutukana, ni ustaarabu tu ndio unawaongoza. Sasa kama umeleta hoja jukwaani si inabidi wadau tuichekeche. Kama hoja haina mashiko basi idhihirike hivyo. Nimetamani kujua tafsiri ya neno ‘Suffer’, na bado ningependa kujua imetafsirika vipi kwenda kiswahili...Get off my dvk
Angemuua shetani watu wangejua kamuonea. Amemuacha ili ukweli ujulikane.Yeye mungu alishindwa nini kumuua shetani. Maana biblia inasema shetani ndio chanzo cha maovu yote, sasa unauaje matokeo ya uovu halafu chanzo ama source unaiacha, si utaua kila siku?
Dini ni mambo ya kitapeli, ni utapeli mtupu. Mungu wala shetani hawapo.
hizo zilikuwa enzi za jino kwa jino (a.k.a sheria) wakati ambao ulishapitwa na Kuja kwa kafara ya Yesu Kristo lililoanzisha msamaha wa dhambi kwa Neema inayotokana na gharama aliyoilipa Yesu Kristo wa Nazareth kwa kufa pale msalamani. alilipa deni looote hajabakisha kitu kiasi kwamba hata mchawi aliyetesa watu miaka mingi akiamua kugeuka na kumpa maisha yake Yesu, anasamehewa dhambi zooote, hakuna dhambi nyingi wala nzito kwa Yesu hata ashindwe kuifuta au kuibeba ndani ya ile gharama ya Damu yake aliyoimwaga.Kutoka 22:18 inasema " Thou shall not suffer a witch to live" a Swahili for " Usimuache mchawi aishi".
Je ni kwanini Mwenyezi Mungu alitoa hiyo decree? Kabla sijatoa majibu yangu kuhusu swali hili Wacha nitoe maoni yangu kwanini Mungu aliwakataza kabisa binadamu kujihusisha Na uchawi.
hivi ukitaja uchawi unamaanisha/unajumuisha pia kufuga majini? yale mazuri ambayo hayana madhara lakini ni majini? yanayokusaidia kwenye biashara, nyota n.k?Qur'an inaukana uchawi?
Mpumbavu kweli wewe hujielewi, hivi unafikiri uchawi ni kitu kidogo kama ulivyofundishwa??Kutoka 22:18 inasema " Thou shall not suffer a witch to live" a Swahili for " Usimuache mchawi aishi"...
Aiseeeee.UUNGU,WE ARE GODS BY NATUREMpumbavu kweli wewe hujielewi, hivi unafikiri uchawi ni kitu kidogo kama ulivyofundishwa??
Hizi akili za ki CCM kabisa![emoji2][emoji2]Yeye mungu alishindwa nini kumuua shetani. Maana biblia inasema shetani ndio chanzo cha maovu yote, sasa unauaje matokeo ya uovu halafu chanzo ama source unaiacha, si utaua kila siku?
Dini ni mambo ya kitapeli, ni utapeli mtupu. Mungu wala shetani hawapo.
basi kuna dini moja, dini ya kina yeriko nyerere, ile ya pool of siloam, wanaamini Ebenezer Munuo yule mchaga wa bombang'ombe aliyekuwa anafanya kazi tanesco akisali lutheran akahama na kuanzisha kanisa lake la pool of siloam kule mbezi beach, nilimsikia kwa masikio yangu akisema yeye ameshamuua shetani, kwamba Mungu alimtuma na ameshamuua shetani, wanaamini yule jamaa ni mungu na alipaa na wanaamini yeye ndiye eliya badala wa Yesu, na kwamba Damu ya Yesu Kristo na Jina la Yesu Kristo vilishapungua nguvu, hivo ukiomba kwa JIna la Yesu hautapata majibu ila ukiomba kwa jina la eliya mungu wa pili yaani yeye munuo aliyekufa na hakufufuka ndio unajibiwa, hadi leo hii hawataji jina la Yesu wanaposali, wanataja Jina la mungu na damu ya mungu mwenyewe (wakimaanisha eliya mungu wa pili yaani Munuo).Yeye mungu alishindwa nini kumuua shetani. Maana biblia inasema shetani ndio chanzo cha maovu yote, sasa unauaje matokeo ya uovu halafu chanzo ama source unaiacha, si utaua kila siku?
Dini ni mambo ya kitapeli, ni utapeli mtupu. Mungu wala shetani hawapo.
Siku hizi vijana wameuingia uchawi sana kujipatia pesa za fasta ukiingia kariakoo wakinga wameendekeza sana uchawiYes uchawi upo lakini Mungu aliukataza. Huyo mchawi Simon baada ya kukutana Na nguvu ya Mungu ali Choma tunguli zake
Wakinga ndio zao, na ukiingia cha kike wanakuondoa uwe makini.siku hizi vijana wameuingia uchawi sana kujipatia pesa za fasta ukiingia kariakoo wakinga wameendekeza sana uchawi
Yule inasemekana aliuliwa KICHAWI Na Mtume Na nabii mmoja baada ya marehemu kumuua KICHAWI mdogo wake Na Mtume Na Nabii huyobasi kuna dini moja, dini ya kina yeriko nyerere, ile ya pool of siloam, wanaamini Ebenezer Munuo yule mchaga wa bombang'ombe aliyekuwa anafanya kazi tanesco akisali lutheran akahama na kuanzisha kanisa lake la pool ...